Mshituko: Rais Magufuli, agoma kumsalimia kwa mkono Mkuu wa Mkoa wa Dar ndugu Paul Makonda

Kila anapoguswa mshipa hukimbilia kwenye maandiko ya Mungu, mara akalie makanisani, ajifariji kwenye biblia lakini haiondoi ukweli kuwa yeye ndio mwenye tatizo, mwambie Yusuph hakuwahi kuwa na tatizo na mtu wala hana damu ya mtu mikononi mwake, yeye anabarikiwa na lucifer maana hata yeye ana himaya yake.
 
Yusuph alichukiwa sana na ndugu zake eti kisa anapendwa sana na baba yake mzee Jacob kuliko watoto wote.

Wale ndugu zake na Yusuf wakapanga njama mbaya sana juu ya Yusuf na wakamtenda vibaya ila mwisho wa siku ule ubaya ukageuka baraka kwa Yusuf mpaka akawa kiongozi mkubwa tu Misri.

Hivyo endeleeni kunichukia ila kumbukeni chuki zeni zinanizidishia baraka kwa Mungu.

Yusuf hasingeweza kuwa kiongozi mkubwa wa Misri kama asingechukiwa na ndugu zake.
Yusufu alipata baraka sababu alikuwa ni mwadilifu, wewe sio mwadilifu hata kidogo kuanzia ulaghai katika elimu na kushiriki vitendo vya utekaji na mauaji ya mahasimu wa bwana yako
 
Wewe unatakuwa mnufaika wa mfumo dhalimu wa Daud Bashite ndiyo maana inakuuma boss wako kuchambuliwa
Umekosea njia bro. Sio kila anaetetea hili jukwaa ni mvuta bangi kama wewe mnatuchafulia humu mara ccm mara cdm mara cuf kwani mmeambiwa wote tuna vyama humu!!
 
INAONEKANA MAALIM SEIF KAJIPENDEKEZA AKUKARIBISHWA NA WAKOME
Mwenye shughuli kesha sema hii nchi ni ya vyama vingi ila ccm wanajitia upofu, kama JPM hakumtaka maalim au upinzani angeacha kwenda, nchi ya wote, shughuli ya wote.
 
Rasi anakutana naye mara kwa mara hakuona haja ya kumpa mkono, ndio maana makonda hajashangaa: mengine ya kwenu
Hata kwenye utambulisho Msigwa alimtambulisha Ally Happi lakini hakumtambulisha Bashite au kwa sababu waalikwa wanamfahamu? eti eeee, maana hata kwenye harusi bwana harusi hutambulishwa..
 
Namhurumia Bashite. Kweli alighushi vyeti, make wangekuwa wanamsingizia ingebidi afanye shughuri nyingine. Sasa ataanzia wapi kwasababu hana vyeti. Labda aende kuvua samaki huko koromije
 
Mfano Yusuph angekuwa Hai angefanya kitendo kama chake cha kwenda Dodoma na kina nyaulingo heri kisanduku cyprian Musiba na kikundi chake kumpiga Risasi Tundu Lisu?

Swali zuri. Naamini Bashite huwa anaiingia humu ukumbini, itakuwa vema akatujibu huo u Yusuf wake.
 
Jamaa huwa hakwepishi,
Hili lilishamtokea hata Prof mmoja, watu hawakushtukia tu .!

 
Back
Top Bottom