Mwl Mwakujonga
JF-Expert Member
- Jun 29, 2023
- 370
- 736
Miaka 15 iliyopita mara baada ya kumaliza chuo jijini Dar es Saalama, kiu yangu ilikuwa ni kufanya kazi mjini kama ilivyo ndoto ya vijana wengi.
Nakumbuka wakati namaliza chuo nilimwomba Mungu sana kupata kazi mara baada ya kumaliza chuo, nakumbuka siku moja tukiwa ibadani chuoni aliyekuwa Muongoza ibada alitamka neno la Maarifa juu yangu kwamba natakiwa kurudi nyumbani ili Mungu anifanikishe.
Nakumbuka nilikataa maelekezo yale na nikamwomba Mungu anisaidie kazi nikiwa dar es saalama na nikamwaidi kumtii Mungu na ahadi kede kede
Kumbe Mungu sio Mwanadamu hapokei rushwa, nilitafuta kazi kila ofisi ambayo ilihusika na kile nilichosomea niliitembelea Dar es Salaam.
Nilitembea hadi viatu vikawa vimeisha upande mmoja hakuna ofisi hata moja ambayo ilionyesha nia ya kuniajiri au kunipa hata nafasi ya kujitolea.
Mara baada ya kuangaika pasipo mafanikio,ili bidi niwapigie simu wazazi kuomba naulii ya kurudi nyumbani sikuw hata nanauli ya kurudi
Mara baada ya kurudi nyumbani, kuna kampuni niliiona kwenye mtandao, na wakati nikiwa Dar es salaama niliwaandikia email kuomba kazi lakini hawakunijibu
Nikiwa mkoani niiliwaandikia sms ya kuomba kazi nilifanya tu kama kubahatisha
Maana sikuwa hata na nguvu ya kutafuta kazi maana jitihada nilizozifanya dsm zilinichosha
Kweli mara baada yakuandika sms nikajibiwa na kuaelekezwa kufika ofisini nikiwa na vyeti kwa ajili ya interview
Namshukuru Mungu alinijibu kuliko nilivyofikiria kwa kipindi ambacho sikutegemea
Mungu anaposema na wewe wetii tu, baraka za Mungu juu yetu ni pale tunapotii maelekezo ya Mungu
Unaposkia sauti ya Mungu usifanye moyo wako kuwa mgumu mtii tu Mungu, ndugu na Mungu atakufanikisha