Mshipa wa aibu umekatika?

bd31e44822e0b39b796e3b656157a397.jpg

Namwaga lazi mieee(kwa sauti ya kizaramo)
 
Wanasema wanaume ndo wanawadharirisha ...mbona sioni kama kuna mwanaume anamlazimisha kuvua hapo ama macho yangu yashakuwa na kitu?
 
Fikirieni hawa watu wawili: mpiga picha na huyo dada kwenye usafiri mgumu wa dar anayetaka kuwahi nyumbani kuhudumia familia yake. Ni yupi kati ya hao wawili aliyekatikiwa na mshipa wa fahamu?

Ina maana hujaona ngoma humo ndani?
Na sare za madera pia hukuyaona ni vizur kuuliza hao ni kawaida yao kujifunua wakiwa wanacheza hapo ngoma zilikua zinapigwa so ili kunogesha akapandisha nguo ili akatike vizuri tena hiyo ilikua fahari ya macho kwa walioko nje ya gari.
Haina haja ya kumtetea wala kumhurumia huyo binti yupo kazini....
japo sijui kama huwa wanalipwaaa!!!!!!
 
Hiyo ndio raha ya Wanawake wa pwani...
Kwa sisi tuliokulia mikoa hii ya ukanda wa bahari ya Hindi,hatuoni la kushangaza hapo.

Ila wale wapiga vigoma wanafaidi sana.
na hapo hata kwenye shuguli hawaja fika,ndio kwanza wapo mataa ya veta wanaenda mbagara kimbangulile.
 
Back
Top Bottom