Yamakagashi
JF-Expert Member
- Sep 19, 2016
- 8,613
- 17,638
Mhhh mbona kwa haraka haraka ukiangalia vizuri hao kama wanaenda kwenye shuguli na bibie dirishani naona kabisa akikata hunoFikirieni hawa watu wawili: mpiga picha na huyo dada kwenye usafiri mgumu wa dar anayetaka kuwahi nyumbani kuhudumia familia yake. Ni yupi kati ya hao wawili aliyekatikiwa na mshipa wa fahamu?