FaizaFoxy
Platinum Member
- Apr 13, 2011
- 100,506
- 123,800
[emoji23] [emoji23] [emoji23] ni kweli kabisa pastor anafanya uchafu ila yule wa kwenye bus anaeonyesha saburi ni wewe na dera lako.
Qur'an 28:
55. Na wanapo sikia upuuzi hujitenga nao na husema: Sisi tuna vitendo vyetu, na nyinyi mna vitendo vyenu. Salamun Alaikum, Amani juu yenu! Sisi hatutaki kujibizana na wajinga.