Kijana shituka muda unakwenda utakuja kuyakumbuka maneno ya Kansigo siku moja! Allah sw ndo Mungu wa kweli, YESU ni mwanadamu tu kama wewe ila yeye cheo chake ni mtume wa Mungu kwa wanaisrael! kama ambavyo walitumwa mitume wengine Kuanzia ADAM, NUHU, IBRAHIM, ISHAKA, ISMAIL, MUSSA, YUSUF ETC SIO mUNGU; KUZALIWA BILA BABA HAKUMFANYI AWE NI MUNGU shtukaEti dini ya haki.
Halafu acha kunitukana kwa kuniambia nijiunge na uislam. Sitaki nikifa nikamuliwe mavi niingie peponi nikiwa msafi. Sitaki kwenda meka kumpapasa na kumbusu mungu wenu kwa kisingizio cha kuhiji. Sitaki kusugua kipaji cha uso wangy eti nipate alama shijna eti inasemekana ukifa eti itakuwa inangaa na alla atawatambua gizani.
Bora kuabudu jiwe tu hamna jinsi