Pastor Achachanda
JF-Expert Member
- May 4, 2012
- 3,023
- 1,316
Tumuombe ALLAH KARIM kwamba huyo festi wina asije kuwa gaidi na pia ajawe hekima na busara.Mashallah.Hadhamin fadh rab.
mlilipia viingilio hapo uhuru stadium au mmeingia bure?Kuna watu hapa roho zao zinawaka moto
Ndg.Mpendwa !! Wee jipange na umtayarishe mwanao ili nae ashiriki.. kuna mashindao thru out the year na tuzo hufikia $200,000... na huko mengine ni ya kimataifa !!Maa shaa Allah,mungu awajaalie waandaaji moyo wa kuyafanya mara kwa mara sio mpaka Ramadhan inshaallah.
Ni Nani hao mkuu au ni wale wa upande wa pili..?Kuna watu hapa roho zao zinawaka moto
Sidhan kama atakuwa amepangwa,kwani mtu anasoma na nyie wote mpo mnasikia,penye kosa mnajua kabisa kuwa hapa amekosea,bahat nzuri majukwaani pis walikuwepo watu am so nao wamehifadhi kama waoNasikia mshindi alipangwa eti
Kuna mshindi aliyehifadhi juzuu 5 na ni mtoto mdogo wa kike,majina yake yote hayakuwa ya kiislam,hebu wenye kujua historia yake watujuze.Inshallah!Katika mashindano,yaliondaliwa na Alhikima,katika uwaja wa Uhuru,Dar es Salaam.Mshidi huyo kwa Jina la Ismail Kambi Mgeni,alipata zawadi ya gari aina ya Noah,yenye thamani ya milioni 14,pamoja na zawadi mbali mbali ikiwemo karo ya masomo yake,atakayoanza kulipiwa mwakani.
Washiriki mbali mbali pia walipata zawadi za Bajaj,pikipiki,mashine ndogo ndogo za juice,Laptop nk.
Mashindano hayo yalihudhuriwa na mgeni rasm,Rais mstaafu wa awamu ya pili,Mzee wetu,Alhaj Ali Hassan Mwinyi,Sheikh Kishki,Sheikh mkuu wa Tanzania,na wageni kutoka nchi ya Saud Arabia.
Mashindano yalikuwa ya kimataifa,washiriki kutoka Kenya,Tanzania(mwenyeji wa mashindano) na Uganda, walishiriki.Aliyepata ushindi wa kwanza juzuu 30 ni Mtanzania.
hizo juzuu 30 ni aina ya explosives ama. Piga ua zaragaza potassium nitrate haikosi hapoKatika mashindano,yaliondaliwa na Alhikima,katika uwaja wa Uhuru,Dar es Salaam.Mshidi huyo kwa Jina la Ismail Kambi Mgeni,alipata zawadi ya gari aina ya Noah,yenye thamani ya milioni 14,pamoja na zawadi mbali mbali ikiwemo karo ya masomo yake,atakayoanza kulipiwa mwakani.
Washiriki mbali mbali pia walipata zawadi za Bajaj,pikipiki,mashine ndogo ndogo za juice,Laptop nk.
Mashindano hayo yalihudhuriwa na mgeni rasm,Rais mstaafu wa awamu ya pili,Mzee wetu,Alhaj Ali Hassan Mwinyi,Sheikh Kishki,Sheikh mkuu wa Tanzania,na wageni kutoka nchi ya Saud Arabia.
Mashindano yalikuwa ya kimataifa,washiriki kutoka Kenya,Tanzania(mwenyeji wa mashindano) na Uganda, walishiriki.Aliyepata ushindi wa kwanza juzuu 30 ni Mtanzania.
kumbe pepo lenu lina madaraja! Interesting. Kwa iyo jamii ya mtume ni daraja la kwanza wasaudia weusi daraja la mwisho. Bora kuabudu jiwe tuuAllah awafanyie wepesi wawe wenye kuiona pepo ya darja ya juu Inshaallah. Wakapewe wale HURULAYN waliojazia jazia neema za Allah. Allah awajaze nguvu zaidi za kuwafanyia JIMAI hao mahurulayn hata mara mia kwa siku
Jitahidi kuuvisha chupi upumbavu wako upate kusitirika mbele za watuhizo juzuu 30 ni aina ya explosives ama. Piga ua zaragaza potassium nitrate haikosi hapo
SEMA MTUMWA WA WAYAHUDI NA WAZUNGU! HIVIM UNAJUA LI DINI LAKO LIMEBAKI AFRIKA TU? shituka kwanini hakuna mwana israel yoyote mkristo acha kubebeshwa gunia la misumari, njoo kwenye dini y hakikumbe pepo lenu lina madaraja! Interesting. Kwa iyo jamii ya mtume ni daraja la kwanza wasaudia weusi daraja la mwisho. Bora kuabudu jiwe tuu
Eti dini ya haki.SEMA MTUMWA WA WAYAHUDI NA WAZUNGU! HIVIM UNAJUA LI DINI LAKO LIMEBAKI AFRIKA TU? shituka kwanini hakuna mwana israel yoyote mkristo acha kubebeshwa gunia la misumari, njoo kwenye dini y haki