Kazi hizo zilipaswa kufanywa na viongozi wao wa ngazi za chini. Ina maana hawaaminiani? Wao ni national figure. Ni kujidhalilisha kuoita vijiweni ilhali hata mikoa hawajamaliza kufanya ziaraSafi sana Makamanda wetu! Pigeni kazi hadi Magamba wasalimu amri!
Mwenyekiti wa Taifa CHADEMA Freeman Mbowe na Katibu Mkuu Dr Wilbroad Slaa wanaendelea na operesheni maalum ya kuimarisha chama jijini DSM
Akithibitisha habari hizi Msemaji mkuu wa Chadema Tumaini Makene amesema Operesheni Mshikemshike Mzizima leo itaendelea kama ifuatavyo;
Mwenyekiti atakuwa Kigamboni-Vijibweni. Kuanzia saa 8 mchana atakuwa na kikao cha briefing ofisi ya kata, atatembelea matawi na kuzindua ofisi kadhaa za misingi na matawi kisha atakwenda Kwenye mkutano wa had hara Mtaa wa Upendo.
Katibu Mkuu; kuanzia saa 8 atakuwa njia panda ya Mabibo Manzese ambapo atapiga mtaa kwa mtaa kufungua matawi kisha ataelekea eneo la mkutano, Mnazi Mmoja- Tip Top Manzese.
Hii ni operesheni maalum kwa Dar es Salaam iliyozinduliwa jana na Mkiti wa Taifa mitaa ya Kijitonyama. Itafanyika Kwa miezi 4. Itakuwa mtaa Kwa mtaa, kijiwe Kwa kijiwe na nyumba Kwa nyumba maeneo ya 'uswahilini'.
Hawa wakaanga sumu hawana jipya wasubiri moto wao tena watapigwa vibaya sana wanadhani siasa ni majungu na vurugu kama wanavyofanya.
Tuwe tunafanyia tathmini hizi operesheni.sangara,,delete ccm n.k lakini bado chadema imetoa wagombea feki kiasi cha ccm kupita bila kupingwaMwenyekiti wa Taifa CHADEMA Freeman Mbowe na Katibu Mkuu Dr Wilbroad Slaa wanaendelea na operesheni maalum ya kuimarisha chama jijini DS
Akithibitisha habari hizi Msemaji mkuu wa Chadema Tumaini Makene amesema Operesheni Mshikemshike Mzizima leo itaendelea kama ifuatavyo;
Mwenyekiti atakuwa Kigamboni-Vijibweni. Kuanzia saa 8 mchana atakuwa na kikao cha briefing ofisi ya kata, atatembelea matawi na kuzindua ofisi kadhaa za misingi na matawi kisha atakwenda Kwenye mkutano wa had hara Mtaa wa Upendo.
Katibu Mkuu; kuanzia saa 8 atakuwa njia panda ya Mabibo Manzese ambapo atapiga mtaa kwa mtaa kufungua matawi kisha ataelekea eneo la mkutano, Mnazi Mmoja- Tip Top Manzese.
Hii ni operesheni maalum kwa Dar es Salaam iliyozinduliwa jana na Mkiti wa Taifa mitaa ya Kijitonyama. Itafanyika Kwa miezi 4. Itakuwa mtaa Kwa mtaa, kijiwe Kwa kijiwe na nyumba Kwa nyumba maeneo ya 'uswahilini'.
Kazi hizo zilipaswa kufanywa na viongozi wao wa ngazi za chini. Ina maana hawaaminiani? Wao ni national figure. Ni kujidhalilisha kuoita vijiweni ilhali hata mikoa hawajamaliza kufanya ziara
Kwa hiyo mpaka mwezi wa tatu 2015, viongozi wakuu wa CHADEMA watakuwa bado wanafukuzana na mitaa ya Jiji la Dar katika taifa lenye mikoa 30!Hii ni operesheni maalum kwa Dar es Salaam iliyozinduliwa jana na Mkiti wa Taifa mitaa ya Kijitonyama. Itafanyika Kwa miezi 4. Itakuwa mtaa Kwa mtaa, kijiwe Kwa kijiwe na nyumba Kwa nyumba maeneo ya 'uswahilini'.
By the way, Ni maeneo yapi hayo ambayo viongozi wa CHADEMA wanadhani siyo ya ''uswahilini''?
Hii operation ilitakiwa kufanyika wakati wa kujiandikisha, nusu ya wa kazi wa Dar hawajajiandikisha, na dalili zinaonyesha 80% ya ambao hawajajiandikisha siyo CCM. Safari bado ni ndefu labda kama tunaongelea kujaza watu kwenye mikutano
Kweli wewe ni zee la Escrow
Kwa hiyo mpaka mwezi wa tatu 2015, viongozi wakuu wa CHADEMA watakuwa bado wanafukuzana na mitaa ya Jiji la Dar katika taifa lenye mikoa 30!
Ingekuwa vizuri zaidi ukawafikishia ujumbe na kuwaambia viongozi wakuu wa CHADEMA wakapitia kwenye hii thread,
By the way, Ni maeneo yapi hayo ambayo viongozi wa CHADEMA wanadhani siyo ya ''uswahilini''?
Halafu wewe ulivyo na tumbo kubwa na makovu usooni nilidhani unaakili kumbe huna akili hata chembe.
Ndugu,Tuwe tunafanyia tathmini hizi operesheni.sangara,,delete ccm n.k lakini bado chadema imetoa wagombea feki kiasi cha ccm kupita bila kupingwa
Kuna tatizo kidogo
Gonga ili uisome hiyo thread kwa faida ya uelewa mpana kuhusu mafanikio ya operesheni za CHADEMA!.