Mshikemshike Dar, Mbowe na Dr. Slaa walikamata Jiji

Molemo

JF-Expert Member
Sep 24, 2010
14,534
13,225
Mwenyekiti wa Taifa CHADEMA Freeman Mbowe na Katibu Mkuu Dr Wilbroad Slaa wanaendelea na operesheni maalum ya kuimarisha chama jijini DSM

Akithibitisha habari hizi Msemaji mkuu wa Chadema Tumaini Makene amesema Operesheni Mshikemshike Mzizima leo itaendelea kama ifuatavyo;

Mwenyekiti atakuwa Kigamboni-Vijibweni. Kuanzia saa 8 mchana atakuwa na kikao cha briefing ofisi ya kata, atatembelea matawi na kuzindua ofisi kadhaa za misingi na matawi kisha atakwenda Kwenye mkutano wa had hara Mtaa wa Upendo.

Katibu Mkuu; kuanzia saa 8 atakuwa njia panda ya Mabibo Manzese ambapo atapiga mtaa kwa mtaa kufungua matawi kisha ataelekea eneo la mkutano, Mnazi Mmoja- Tip Top Manzese.

Hii ni operesheni maalum kwa Dar es Salaam iliyozinduliwa jana na Mkiti wa Taifa mitaa ya Kijitonyama. Itafanyika Kwa miezi 4. Itakuwa mtaa Kwa mtaa, kijiwe Kwa kijiwe na nyumba Kwa nyumba maeneo ya 'uswahilini'.
 
Last edited by a moderator:
CHADEMA si kila siku mnawatukana watu wa Dar kuwa wanakula miguu na utumbo wa kuku?
 
Hawa wakaanga sumu hawana jipya wasubiri moto wao tena watapigwa vibaya sana wanadhani siasa ni majungu na vurugu kama wanavyofanya.
 
Hii operation ilitakiwa kufanyika wakati wa kujiandikisha, nusu ya wa kazi wa Dar hawajajiandikisha, na dalili zinaonyesha 80% ya ambao hawajajiandikisha siyo CCM. Safari bado ni ndefu labda kama tunaongelea kujaza watu kwenye mikutano
 
Uswahilini muwaachie CUF tu ndio maeneo yao. nyie Chadema nendeni uzunguni
 
Hawa wakaanga sumu hawana jipya wasubiri moto wao tena watapigwa vibaya sana wanadhani siasa ni majungu na vurugu kama wanavyofanya.

Kweli wewe ni zee la Escrow
 
Mwenyekiti wa Taifa CHADEMA Freeman Mbowe na Katibu Mkuu Dr Wilbroad Slaa wanaendelea na operesheni maalum ya kuimarisha chama jijini DS
Akithibitisha habari hizi Msemaji mkuu wa Chadema Tumaini Makene amesema Operesheni Mshikemshike Mzizima leo itaendelea kama ifuatavyo;

Mwenyekiti atakuwa Kigamboni-Vijibweni. Kuanzia saa 8 mchana atakuwa na kikao cha briefing ofisi ya kata, atatembelea matawi na kuzindua ofisi kadhaa za misingi na matawi kisha atakwenda Kwenye mkutano wa had hara Mtaa wa Upendo.

Katibu Mkuu; kuanzia saa 8 atakuwa njia panda ya Mabibo Manzese ambapo atapiga mtaa kwa mtaa kufungua matawi kisha ataelekea eneo la mkutano, Mnazi Mmoja- Tip Top Manzese.

Hii ni operesheni maalum kwa Dar es Salaam iliyozinduliwa jana na Mkiti wa Taifa mitaa ya Kijitonyama. Itafanyika Kwa miezi 4. Itakuwa mtaa Kwa mtaa, kijiwe Kwa kijiwe na nyumba Kwa nyumba maeneo ya 'uswahilini'.
Tuwe tunafanyia tathmini hizi operesheni.sangara,,delete ccm n.k lakini bado chadema imetoa wagombea feki kiasi cha ccm kupita bila kupingwa
Kuna tatizo kidogo
 
Last edited by a moderator:
Kazi hizo zilipaswa kufanywa na viongozi wao wa ngazi za chini. Ina maana hawaaminiani? Wao ni national figure. Ni kujidhalilisha kuoita vijiweni ilhali hata mikoa hawajamaliza kufanya ziara

Hapo shida ni posho wanakula peke yao siunajua wachaga kwa pesa.
 
Hii ni operesheni maalum kwa Dar es Salaam iliyozinduliwa jana na Mkiti wa Taifa mitaa ya Kijitonyama. Itafanyika Kwa miezi 4. Itakuwa mtaa Kwa mtaa, kijiwe Kwa kijiwe na nyumba Kwa nyumba maeneo ya 'uswahilini'.
Kwa hiyo mpaka mwezi wa tatu 2015, viongozi wakuu wa CHADEMA watakuwa bado wanafukuzana na mitaa ya Jiji la Dar katika taifa lenye mikoa 30!

Ingekuwa vizuri zaidi ukawafikishia ujumbe na kuwaambia viongozi wakuu wa CHADEMA wakapitia kwenye hii thread,
By the way, Ni maeneo yapi hayo ambayo viongozi wa CHADEMA wanadhani siyo ya ''uswahilini''?
 
Hii operation ilitakiwa kufanyika wakati wa kujiandikisha, nusu ya wa kazi wa Dar hawajajiandikisha, na dalili zinaonyesha 80% ya ambao hawajajiandikisha siyo CCM. Safari bado ni ndefu labda kama tunaongelea kujaza watu kwenye mikutano

Acha porojo ndugu..Kwa hiyo waliojiandikisha ni CCM tu?

Mimi kwenye mtaa wangu robo tatu ya waliojiandikisha ni Ukawa
 
molemo ...pamoja na operation hiyo tupeni majibu ya kilichotokea same tumaini makene amekuja na jibu rahisi sana ....mimi sitegemei kwa mikoa ya arusha na kilimanjaro kama maccm yangepita bila kupingwa au form kukosewa kisa muhuri kwa chama makini kama chadema
 
Kwa hiyo mpaka mwezi wa tatu 2015, viongozi wakuu wa CHADEMA watakuwa bado wanafukuzana na mitaa ya Jiji la Dar katika taifa lenye mikoa 30!

Ingekuwa vizuri zaidi ukawafikishia ujumbe na kuwaambia viongozi wakuu wa CHADEMA wakapitia kwenye hii thread,

By the way, Ni maeneo yapi hayo ambayo viongozi wa CHADEMA wanadhani siyo ya ''uswahilini''?

Huna haki ya kuniuliza chochote.

Uko kwenye Ignore list yangu siku nyingi wewe mpigapicha wa Nape
 
10 Reactions
Reply
Back
Top Bottom