Mshana Jr ndiye mwanaume mwenye mvuto kuliko wote JamiiForums

Kweli hajakuonyesha tu makucha yake anaroho mbaya hana msaada anaangalia wakumpa sasa huyo sio handsome , handsome au gentlemen ni mtu wawatu sio wa wewe tu , kuwa handsome na tajiri tunajua
 
Labda hao wanamsofu wana Agenda zao hakuna lolote
 
Ramadhan Kareem.

Bwana Mshana Jr ndiye mwanaume mwenye mivuto kuliko wote hapa jamvini.

Mshana Jr huwezi kumuweka kwenye viwango vya kina mpwayungu village , GuDume, @dr hayaland nk.

Mshana Jr ana post zenye wachangiaji wengi kuliko maelezo. Post zake zina madini makali, na amekuwa jukwaani kwa siku nyingi.

Mshana Jr ni mjuzi wa siasa, soka, magari, uchawi, ulozi, mapenzi, mambo ya kimataifa nk.

Mshana Jr na Bujibuji Simba Nyamaume wanaendana sana, ila buji kajaa sana utani na vichekesho.

Mshana Jr ndiye mchangiaji bora wa muda wote. Amebeba sifa hizo kutoka kwenye majukwaa matatu tofauti.

Mshana Jr ndiye mtu aliyekutana na members wengi zaidi wa JF, wanaume kwa wanawake.

Huyu ndiye Mshana Jr wa kichwani mwangu
Kwani Mshana Jr mwenyewe anasemeje??????
 
Daaaah hahahahhah
Screenshot_20230805_114854.jpg
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom