Mshana Jr ndiye GOAT wa JF

Mshana Jr ndiye GOAT wa JF

Jamaa ana ID's kibao humu na hii sio mara yake ya kwanza kuanzisha thd ya kujisifia,
Thd zake nyingi ni mambo ya kufikirika tu,uchawi na ushirikina,halafu ukimpiga swali gumu hua hajibu,anawajibu wale aliowashikia akili maswali mepesi mepesi.
Sio mshirikina Wala ni mtu wakaida tu na kampambana sana . Basi
 
Salaam wakuu.

Kama kichwa cha habari kinavyojieleza mimi binafsi naamini Mshana Jr ndiye member bora wa jf wa muda wote kama alivyo pele kwenye kandanda na muhammad ali kwenye masumbwi.

Huyu mwamba hana dharau wala kejeli hata kama utakuwa na mtazamo tofauti katika mada fulani au jambo fulani hutomuana akikukashifu au kukutukana kama member wengine inaonekana ni mtu mwenye busara sana.

Jinsi avowasilisha mada uchambuzi uliotulia mfano ule ushauri wake kwa SHABAN KAONEKA NA UCHAMBUZI WAKE KUHUSU ROSE MUHANDO NK INAONESHA NI MTU MWENYE AKILI SANA.

Japo watu wanasema huwa anakopi kwa watu ila sijajua huu ushauri kwa kaoneka amekopi kwa nani nadhani ni wivu tu wa Kitanzania.

MSHANA JR ULIEJAA BUSARA, HEKIMA NA AKILI NYINGI MIMI BINFSI NAAMINI WEWE NDIYE GOAT WA JF.

MWENYEZIMUNGU AKUBARIKI NA AKUPE MAISHA MAREFU ILI TUPATE MAARIFA ALIYOKUPATIA.

MWENYEZIMUNGU ATUBIRIKI WANA JF WOTE.

UZI TAYARI.
Google translator watakwambia Mshana ni mbuzi.. Ghafla sifa inakuwa tusi
 
Jamaa ana ID's kibao humu na hii sio mara yake ya kwanza kuanzisha thd ya kujisifia,
Thd zake nyingi ni mambo ya kufikirika tu,uchawi na ushirikina,halafu ukimpiga swali gumu hua hajibu,anawajibu wale aliowashikia akili maswali mepesi mepesi.
Wivu tu kwan nyuzi c kila mtu anaziona
 
list yangu hii japo haipo kwenye order maalumu.
Offshore Seamen kazungumzia na kupambania fursa nyingi za baharini, zijulikane na kufanyiwa kazi.

Kiranga jamaa ni hazina kuanzia issue za self knowledge, tech dvpt, business na wehu kwa ujumla.

Mshana Jr I prefer mshana wa kimahusiano ya jamii, kaunganisha na kugusa maisha ya baadhi ya watu.

The Monk sijui ka mna jua ila msomeni Jamaa kwa makini, aki andika we note kisha tafakari.

Eyce, Shimba ya Buyenze, Ushimen,

Hawa wanawake wako vizuri upstairs binti kiziwi, Angel Nylon,
 
Mkuu nashukuru japo unanipa heshima kubwa mno nisiyostahili.
Hapo umesahau kumuongezea na Intelligent businessman
 
Back
Top Bottom