Mshana Jr ndiye GOAT wa JF

Mshana Jr ndiye GOAT wa JF

Mkuu nashukuru japo unanipa heshima kubwa mno nisiyostahili.
Hapo umesahau kumuongezea na Intelligent businessman
Hahaha mkuu trust me or not ila una andika vitu fulani vya kipekee,

sometimes niki soma mada mlizo jadili kitambo, nasema hii ndiyo jf ya ma great thinker's bhana.

Kina mzee abdul ghafur sijui yuko wapi mzee huyu, mli na bado mna Jitahidi kuifanya jf iwe ya kiutofauti.
 
Yupo Kibaha Misugusugu.
Zama zinabadilika Mkuu, ni ukurasa wa JF mpya Sasa.
 
Back
Top Bottom