Tareek Azeez
JF-Expert Member
- Mar 29, 2014
- 13,042
- 32,682
Mpare kawa Mbuziiiiii
Mpare kawa MbuziiiiiiView attachment 2496051
CCM tulipendana mpaka 1984 tulipopeana talaka 7Nilijua umejiunga na CCM.
Kumbe ni mtu kuwa na Akiba kubwa ya maarifa![]()
,😂😂😂Mkuu shukrani Sana.
Ila mshana Jr anafanya vizuri Kwa upande wake.
Labda mapungufu yake ni kushindwa kuwa mkweli. Hali inayomfanya aonekane anabusara na hekima.
.
Kaka rudi kundini CCM tuwafikishe watanzania pamoja kwenye nchi ya ahadi!!!!Au mwaka 1984 na wewe ulikua lile kundi la FRONTLINER,S kaka????CCM tulipendana mpaka 1984 tulipopeana talaka 7
Hapana kipindi hicho sisi ndio tulikuwa wale vijana wa CHIPUKIZI watiifu sana kwa chamaKaka rudi kundini CCM tuwafikishe watanzania pamoja kwenye nchi ya ahadi!!!!Au mwaka 1984 na wewe ulikua lile kundi la FRONTLINER,S kaka????
HahahaMshana na Shaban kaoneka ni ndugu kabisa

Hakuna kitu kama hiki unaendehswa na chuki na Wivu ila jamaa ana deserve.Jamaa ana ID's kibao humu na hii sio mara yake ya kwanza kuanzisha thd ya kujisifia,
Thd zake nyingi ni mambo ya kufikirika tu,uchawi na ushirikina,halafu ukimpiga swali gumu hua hajibu,anawajibu wale aliowashikia akili maswali mepesi mepesi.
Wewe alishakuchota akili kama wengine tu,hapo hujielewi zaidi ya kuimba na kuabudu tu.Hakuna kitu kama hiki unaendehswa na chuki na Wivu ila jamaa ana deserve.