Mshahara wa mwezi May vipi watumishi?

Mshahara wa mwezi May vipi watumishi?

Ulishamuahidi kimada wako mnapokea leo siyo? Sasa unahaha
 
Mishahara ishatoka tangu leo asubuhi saa 4, lakini nyumbx hawajui chochote lakini wanalazimisha kukizungumzia - check wanavyokanyagana
Mishahara ikitoka haitoki idara zote mkuu, unaweza kusikia Leo walimu wamepata mshahara lakini sehemu kama jeshini mshahara ukawa haujatoka, mshahara hautoki kwa kila idara ndani ya Siku moja
 
kifinga kuna ongezeko lolote?
OKW BOBAN SUNZU njoo ChamaDola alias ChamaKubwa ili usahau hizoo petty debts!
We endekeza Ukamanda utaishia kupanua kinywa tu huku freeman Aikaeli Mbowe akiendelea kutumbua ruzuku ya chama!
Mwanaomayu mbona Mkaruka kasema shimo lishatema?
Ila mkuu umeongea point,mimi ningeshakuwa hata DED mahali au hata mkuu wa idara,tatizo ukamanda unaniponza.Kuna mbunge aliwahi kuniambia maneno kama yako
 
Inatia huruma sana jinsi wafanyakazi wa nchi hii wanavyoishi kwa maisha ya mkononi-kinywani. Kwanini mtu asijibane aishi walau miezi mitatu kwa mshahara wa miezi miwili? Hii itakusaidia kuishi na mshahara wa mwezi juzi wakati huo wa mwezi uliopita upo umetulia kwenye account. Huondoa pressure za delay na kuleta utulivu wa akili. Mimi binafsi wakati ni mwajiriwa nilijifunza hiyo kitu na ilinisaidia sana kabla sijajiajiri mwenyewe.
 
Hivi kuuliza kuhusu haki siku hizi ni jinai? Muulizaji hongera kwa kutokuwa mnafiki. Anayekubeza si ajabu akicheka vumbi linatimka kwenye mashavu na mdomo unanuka gongo la mihogo!
 
Inatia huruma sana jinsi wafanyakazi wa nchi hii wanavyoishi kwa maisha ya mkononi-kinywani. Kwanini mtu asijibane aishi walau miezi mitatu kwa mshahara wa miezi miwili? Hii itakusaidia kuishi na mshahara wa mwezi juzi wakati huo wa mwezi uliopita upo umetulia kwenye account. Huondoa pressure za delay na kuleta utulivu wa akili. Mimi binafsi wakati ni mwajiriwa nilijifunza hiyo kitu na ilinisaidia sana kabla sijajiajiri mwenyewe.
Hii dawa ya maisha
 
UKITAKA UTAJIRI JIAJIRI
 
OKW BOBAN SUNZU ebu anzia hapa:gombea hata uenyekiti wa uvccm kata,ili uwe mjumbe wa kamati ya siasa ya wilaya!
Hapo utakuwa huru kufanya kazi zako!
Hakuna atakaye kugusa ktk utumishi wa umma as long as una vyeti safi!
Kuwa na miisimamo inayokuongezea njaa badala ya shibe ni ujuha!
 
Dadadeki!!!
Huku kitaa (field ) hali imekuwa ngumu na haimithiliki na kitu chochote. Sio mfanyabiashara wala mtumishi serikalini. Vitambi vimeisha. Kwisha kabisa ndembendembe. Suruali hazikai viunoni.
 
Back
Top Bottom