Mkuu hujaelewekaWaya angalieni
Hahahahhaa mpigiko unaondoa busara ndio maana povu tu kila sehemu #[emoji12] [emoji125] [emoji100] [emoji100] [emoji100]Mbona hasira hivyo!? Mimi mwenyewe ni mmoja wa wanaousubiri kwa hamu [emoji1] [emoji1]
Kitu IPO nenda acha kuvunga[emoji16][emoji16] mpaka ijumaa, kuweni tu wapole.
Wee unapaswa kuchunguzwa kwa hiyo mtu asiulizie mshahara kisa nn sasa au ukiuliza mshahara ndo hufatafanya kaziWe badala ya kufanya kazi unawaza tu mshahara? Ndio maana Makonda kasema wafanyakazi kama nyie angewatia mboko!
Sio kweli wale ambao mishahara inapitia crdb tayari idara nyingi ila nmb ndo bado[emoji16][emoji16] mpaka ijumaa, kuweni tu wapole.
Ndio mubasharaaaaSam! kweli kuna mtu kaishapata mshahara crdb?
Anakutania huyoSam! kweli kuna mtu kaishapata mshahara crdb?
Kuku huyoAnakutania huyo
ushauri naomba mwenye uwezo afungue whatsap link tuwasiliane juu ya mishahara naona humu kumejaa wivu, umbea, ugonvi, kejeli wakati watu wako serious...anzisheni group ambalo watu watajoin, kuhabarishana
Nijuavyo mimi kuna watu huingia humu kutumia simu zao kuona thread ya salary yyt ili mtu ajongee kwenye ki etiemu wewe unafany amizaha ya ajabu ajabu..link ya whatsap ukiitupia hapa watu watajoin tu
Sio kweli wale ambao mishahara inapitia crdb tayari idara nyingi ila nmb ndo bado
Sasa mtumishi mwenzangu hatujachelewa kujua cha kufanya, tuanze sasaTungejua cha kufanya
Hahaaaa mnafanyiwaga favor tu, mwezi unaanza tar 1 na kuisha tar 30. Tulia tarehe bado kabisa.Kwan tar 22 mwez ulopita mpka tar 22 mwez huu..jumla ni siku ngap?
Haujaingia Mkuu tulia.Kitu IPO nenda acha kuvunga
Acha kudanganya Mkuu, nipo CRDB mshahara haujaingia.Sio kweli wale ambao mishahara inapitia crdb tayari idara nyingi ila nmb ndo bado
Hapo patamuAcha kudanganya Mkuu, nipo CRDB mshahara haujaingia.