Mshahara wa mwezi May vipi watumishi?

Inatia huruma sana jinsi wafanyakazi wa nchi hii wanavyoishi kwa maisha ya mkononi-kinywani. Kwanini mtu asijibane aishi walau miezi mitatu kwa mshahara wa miezi miwili? Hii itakusaidia kuishi na mshahara wa mwezi juzi wakati huo wa mwezi uliopita upo umetulia kwenye account. Huondoa pressure za delay na kuleta utulivu wa akili. Mimi binafsi wakati ni mwajiriwa nilijifunza hiyo kitu na ilinisaidia sana kabla sijajiajiri mwenyewe.
Ushauri wako hautekelezeki. Hivi take home ya laki 3 hadi 5 utaibajeti vipi uitumie kwa wiki zaidi ya 6?

Tunaomba ushauri tafadhali.
 
Back
Top Bottom