Mshahara wa mwezi May vipi watumishi?

Mshahara wa mwezi May vipi watumishi?

Jamani kinachofanyika ni sorting out watumishi hewa... Subirini. Wakifanikiwa kumaliza labda leo jioni.
 
Nimeangalia muda maandishi matatu mobile ( NMB). Bado pamenuna wakuu.
 
Je list 9000+ wamelipwa this month?
 
Kwani mwezi umeisha? Si una Siku 31 huu mwezi? Tulieni hapohapo. Mpaka tarehe 30. Nawahakikishieni.
 
Mbingo kumbe bado kwa sababu ya watumishi hewa?
Hiyo sababu imetolewa na kiongozi yupi mana vyeti feki mara watumishi hewa na ilipelekea madaraja na nyongeza zikazuiliwa sasa hivi wamezuia hata mishahara lol baba Jesca vp ....!!!
 
Kweli analeta utoto. Hii ni platform ya watu kuongelea touching issues. Kama mtu hana jibu si bora akae kimya?
 
  • Thanks
Reactions: SDG
Dr Magufuli na team yake wao wanajiona bora sana hawajali maisha ya wengine mana hawatujali ila wanasisitiza uzalendo usiokuwa na motisha....!!!!
Jioni hii wanaweza kutuingizia mkuu..tuvute tu subira
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom