ANT DRUGS
JF-Expert Member
- Dec 20, 2013
- 5,569
- 7,043
Ni hatari sana mkuu.Shida mbaya sanaHata kama una dhiki zako basi jitahidi kuzificha
Tarehe 21 unasema mshahara unachelewa
Hayo ndio madhara ya kuchukua mikopo bank kisha kwenda kuimaliza bar na kwa malaya