Mshahara wa Mwanajeshi wa Tanzania

hata akiujua utamsaidia nini sasa, mshahara wa Raisi hata ukiujua haukufanyi uvutike kuiomba nafasi hiyo,,,, sasa jeshini ni kada ya kawaida kabisa kama mtu unapenda kujiunga na jeshi wewe nenda kajiunge si basii suala la mshahara utakutana nalo huko huko sio suala letu huna uzalendo wewe maana unatanguliza pesa sana badala ya wito binafsi
Nayafaham haya yote uliyoandika apa.
Nisichojua ni mshahara bas.
 
ingekugharimu nini kusema hujui ama kupita kimya? Idara nyeti kwani hiyo pesa yake inatoka wapi kama si kodi zetu. Unadhani vijana wasomi watahamasika vipi kwenda jeshini bila kujua manufaa yake ikiwemo mshahara?

wewe kama mtu yuko tayari kufanya kazi manufaa ni baada ya kazi sasa anapelekwa na manufaa au kazi?
ok, nawe kwa nini hukupita tu au hukumjibu tu bila comment yako hapa?
Pumbaaavu kabisa!

Nenda Makao makuu ya Jeshi Upanga.....

By the way, jeshini watu hawaendi kwa ajili ya misharaha....

1. No one can pay you by risking your life....! Jeshini hakuna msharaha ila kina Uzalendo na kugawana majukumu ya kulinda nchi full stop.

""Safi sana Mkuu, kwa jibu hilo"" ila next time usimtusi!!
 
Yani huyo kijana ambaye anaingia jeshini kufata mishahara hafai kabisa kuwa askari. Hafai kabisa, hawa ndio ambao wanaosaliti nchi kwa kununuliwa,

By the way acha kuuliza mishahara ya watu.

Safi sana Tata merengo!!
 
sawa kabisa sijui majitu mengine yamelelewa namna gani hayaishi kujiuliza uliza sijui nende jeshini sijui nende kuvua samaki sijui nende kuchuma mboga porini sijui nende nikarine asali sijui nende kutafuta demuuu jinga kabisaaa
 
Jeshini sio sehem ya kutegemea malipo, ni Taasisi iliyoundwa na wenye mioyo ya kijasiri na walio tayari kwa lolote mda wowote, kuhoji malipo jeshini ni moja ya udhaifu wa kukuonyesha kuwa hufai kuwa mwanajeshi, kama huna moyo wa kuhimili mafunzo na mazingira ya kazi (mstuni) hata ungelipwa kiasi gani huwezi kukaa jeshini, hatufuati malipo bali ni kuipenda kazi ya uanajeshi na kujiamini kwa 24/7 kuwa wewe ni rasilimali mhimu yenye kusimamia usalama wa raia wengine iwe usiku, mwituni(jungle), jangwani, majini, usiku au mchana,
Je, kwa hayo yote kama ni malipo asikari angelipwa mamilion mangapi?
NB: jeshi sio Taasisi ya kutoa ajira bali Taasisi ya kimafunzo na ulinzi.
 
Mi naona huyu na wengine wenye tabia hizi wasipewe hata ushauri wa mahali pa kwenda kupata hizo taarifa na ikitokea wamefika basi huko taarifa ziliko ijulikane kweli ni Watanzania na wanahitaji hizo taarifa kwa sababu zipi? ila kama sivyo daaah, tutakulachanga la macho.
 
Tres Bien! Excellent! Hapo nasema Vizuri sana!! Umesema vizuri sana.
 
Wakuu punguzeni munkari...hawa ndio vijana wetu wa miaka hii.....vichwa vyao vimejaa tope la starehe na uvivu.....

Tumsamehe bure
Basi akatoe hilo tope kisha aje aombe ushauri uliokaa vizuri sio wa aina hii!! mf. atujulishe kuwa ana 2m au zaidi anahitaji ushauri jinsi ya kuwekeza hiyo hela.
 
ingekugharimu nini kusema hujui ama kupita kimya? Idara nyeti kwani hiyo pesa yake inatoka wapi kama si kodi zetu. Unadhani vijana wasomi watahamasika vipi kwenda jeshini bila kujua manufaa yake ikiwemo mshahara?
Pumbaaavu kabisa!

Nenda Makao makuu ya Jeshi Upanga.....

By the way, jeshini watu hawaendi kwa ajili ya misharaha....

1. No one can pay you by risking your life....! Jeshini hakuna msharaha ila kina Uzalendo na kugawana majukumu ya kulinda nchi full stop.
Mshahara ni moja vitu vinavyomvutia mtu kufanya kazi/ajira fulani, utalisha nini familia yako?
 
Mi naona huyu na wengine wenye tabia hizi wasipewe hata ushauri wa mahali pa kwenda kupata hizo taarifa na ikitokea wamefika basi huko taarifa ziliko ijulikane kweli ni Watanzania na wanahitaji hizo taarifa kwa sababu zipi? ila kama sivyo daaah, tutakulachanga la macho.
Hakuna haja ya kuanika malipo ya asikari mtandaoni huyu kwanza inatakiwa aulizwe vizuri na malengo yake haswa ni nini! Huyo hafai kuwa asikari maana hawezi kuhimili mambo ya jeshini kwa dhamana ya mshahara.
 
Mshahara wa mwanajeshi kuwekwa hadharani una madhara hani katika nchi? nadhani ni uoga na hofu isiyokuwa na msingi, hawa wanajeshi tunaishi nao mtaan ni ndugu na marafiki zetu mishahara yako, posho zao na benefits nyingine kwenye financial institutions tunazijua kwa uwaza tu. Mtu angeuliza mafunzo wanayopitia angalau tungeweza kusema siri ila sio mshahara. Na jeshi sio kujitolea kwa miaka hii ni ajira kama ajira nyingine tu na wanamishahara mizur kuliko kada nyingine kama Polisi, Magareza , waalimu na Afya.

Sent from my BlackBerry 9320 using JamiiForums
 
Mshahara ni moja vitu vinavyomvutia mtu kufanya kazi/ajira fulani, utalisha nini familia yako?
Kuna kazi nyingi za kupatia ridhiki mkuu tofauti na jeshi, jeshini utatumia mda wako na nguvu pia maarifa yote ili kufanikisha adhima za kimafunzo na utekelezaji wa majukumu ya kijeshi ambayo hata ukiangalia hayawezi kuthamanishwa kwa malipo ya fedha, jeshini ni kujitoa sadaka ili familia, jamii na taifa liwe katika misingi ya amani na ustawi.
 
Mshahara wa mwanajeshi kuwekwa hadharani una madhara hani katika nchi???nadhani ni uoga na hofu isiyokuwa na msingi, hawa wanajeshi tunaishi nao mtaan ni ndugu na marafiki zetu mishahara yako, posho zao na benefits nyingine kwenye financial institutions tunazijua kwa uwaza tu. Mtu angeuliza mafunzo wanayopitia angalau tungeweza kusema siri ila sio mshahara. Na jeshi sio kujitolea kwa miaka hii ni ajira kama ajira nyingine tu na wanamishahara mizur kuliko kada nyingine kama Polisi, Magareza , waalimu na Afya.

Sent from my BlackBerry 9320 using JamiiForums
Taja sasa, ujuaji mwingine acheni, kuleni vihepe town kazi za watu hizo, huyo anaehoji mshahara sidhani kama ataimaliza hata jkt,
 
Back
Top Bottom