KhaaBado sijaona jipya kwa Nala...
Kabla ya Nala kulikuwa na Mpesa app, tigopesa app na zote zinafanana na Nala.
Utofauti ni mdogo sana, na hakuna kinachowezekana kwa Nala kikashindikana kwenye app zingine.
Huyu jamaa alichokifanya ni kujitangaza na kuonesha idea yake bongo hazipo
Kabisa mkuu... Yani NALA hakuna jipyaaa palee...!! sema yeye kajipigia promo sana hiyo app yake.. Kwanza hakuna mtu namjua ame install app ya Nala sinaa yanii sasa ndo najiuliza kama sisi wana chuo hio app ya Nala wengi hawaijui wala kuitumia nani tz hii anaeitumia????Bado sijaona jipya kwa Nala...
Kabla ya Nala kulikuwa na Mpesa app, tigopesa app na zote zinafanana na Nala.
Utofauti ni mdogo sana, na hakuna kinachowezekana kwa Nala kikashindikana kwenye app zingine.
Huyu jamaa alichokifanya ni kujitangaza na kuonesha idea yake bongo hazipo
Vipi mkuu bado msimamo wako ni huu huu?Kabisa mkuu... Yani NALA hakuna jipyaaa palee...!! sema yeye kajipigia promo sana hiyo app yake.. Kwanza hakuna mtu namjua ame install app ya Nala sinaa yanii sasa ndo najiuliza kama sisi wana chuo hio app ya Nala wengi hawaijui wala kuitumia nani tz hii anaeitumia????
Unamaanisha nini kwa kuuliza hivyo?Nchi ya Tanzania inapatikana bara la Asia?