Tetesi: MSHAHARA WA MILIONI 400

Bossprota

Senior Member
Jul 16, 2015
152
225
Duh jamaaaa n jiniaz anamsemo wake "MBWA ANABEBA MIMBA NDANI YA MIEZ 6 ANAWATOTO 10•••••> LAKINI TEMBO ANABEBA MIMBA NDAN YA MIEZ 18 AF ANAZAA KATOTO KA1 ILA MTOTO WA TEMBO NI HAZINA YATAIFA WAKATI MTOTO WAUMBWA HAWANA THAMANI YOYOTE"
 

Prince Luanda

JF-Expert Member
Oct 17, 2016
1,029
2,000
Bado sijaona jipya kwa Nala...
Kabla ya Nala kulikuwa na Mpesa app, tigopesa app na zote zinafanana na Nala.

Utofauti ni mdogo sana, na hakuna kinachowezekana kwa Nala kikashindikana kwenye app zingine.

Huyu jamaa alichokifanya ni kujitangaza na kuonesha idea yake bongo hazipo
Khaa
 

rikiboy

JF-Expert Member
Feb 19, 2017
12,789
2,000
Bado sijaona jipya kwa Nala...
Kabla ya Nala kulikuwa na Mpesa app, tigopesa app na zote zinafanana na Nala.

Utofauti ni mdogo sana, na hakuna kinachowezekana kwa Nala kikashindikana kwenye app zingine.

Huyu jamaa alichokifanya ni kujitangaza na kuonesha idea yake bongo hazipo
Kabisa mkuu... Yani NALA hakuna jipyaaa palee...!! sema yeye kajipigia promo sana hiyo app yake.. Kwanza hakuna mtu namjua ame install app ya Nala sinaa yanii sasa ndo najiuliza kama sisi wana chuo hio app ya Nala wengi hawaijui wala kuitumia nani tz hii anaeitumia????
 

troublemaker

JF-Expert Member
Jun 8, 2015
14,935
2,000
me nimeitumia hii app ninayo.
uzuri inafanya kazi kwa mitandao yote. na sina haja ya kuinistall app za mitandao yote miwili, hii moja tu inamaliza kila kitu.
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom