Tetesi: MSHAHARA WA MILIONI 400

Nanye Go

JF-Expert Member
Oct 29, 2018
6,125
2,000
Jiulize WhatsApp ananufaikaje? Kikubwa ni kusupport hiyo NALA ikifikia level flani atanufaika zaidi kuliko hizo fedha za Tuzo

Usishangae NALA inanunuliwa na PayPal akapata kuwa Board of Director.
Nimesikia hataki kuajiriwa, sasa mambo ya kununuliwa na PayPal sijui yanatoka wapi?! Anao uwezo afanye peke yake.
 
rechungura1

JF-Expert Member
Jan 19, 2015
378
225
Halafu muelewe huyo ana chembechembe za utajiri since mdogo, amekulia mazingira ya kishua sana na amepata Exposure za kutosha

Baba yake nasikia ni yule Mwenye kituo cha TV cha ATN

"Mtanzania mwenye asili ya Asia"
no ni mtanzania mwenye asili ya ureno. mababu zake ni wale wakoloni wa kireno enzi hizo waliotia timu pale tanga
 
Windhoek

JF-Expert Member
Jan 25, 2016
254
500
*TUWAPIGIE KURA WASANII WETU MVP MUSIC AWARDS.* Hizi ni tuzo kubwa huko Nigeria. Turudishe heshima ya Tanzania.

Kwa kuwa wasanii wetu wengine wako wawili kwenye kipengele kimoja tupange tumpigie nani kura kila kipengele ili tusigawanye kura na tukashindwa kuchukua tuzo.

Vipengele:
*BEST MALE*
Hapa yupo Harmonize na Diamond. Tumpigie HARMONIZE kwa kuwa Diamond yupo kwenye vipengele vingine vingi.

*BEST FEMALE*
Tumpigie Maua Sama. Yupo peke yake toka Tz na East Africa

*BEST HIP HOP*
Hapa hakuna mbongo. Tumpe Khaligraph Jones mkali jirani yetu toka Kenya.

*BEST POP*
Tumpigie *Diamond Platnumz* yupo peke yake toka Tz na East Africa

*BEST COLLABORATION*
Hapa kuna JIBEBE na KATIKA. Tuipigie kura KATIKA YA NAVY KENZO kwa kuwa Diamond bado yupo kwenye vipengele vingine vingi. Isitoshe na kwenye KATIKA yumo

*DIGITAL ARTIST OF THE YEAR*
*Tumpigie Diamond Platnumz.* Hapa yupo peke yake kutoka Tanzania & East Africa

*BEST GROUP OF THE YEAR*

Tuwapigie Navy Kenzo

*SONG OF THE YEAR*
Hapa kuna *African Beauty ya Diamond*, na kuna *KWANGWARU* ya Harmonize na Diamond. Tuipigie *KWANGWARU* maana itapata kura nyingi zaidi toka nchi nyjngine za Africa kwa kuwa mpaka sasa ndo most viewed African music video kwa 2018. Na pia Diamond yumo

*BEST NEW ARTIST*
Tumpigie MBOSSO. Yupo peke yake kutoka Tz & East Africa

*LISTENERS' CHOICE*
Hapa ipo KATIKA ya Navy Kenzo na KWANGWARU ya Navy Kenzo. Tuipigie KATIKA ya Navy Kenzo maana KWANGWARU tushaipigia hapo juu

*AFRICAN PRODUCER OF THE YEAR*
Tumpigie NAHREEL yupo peke yake kutoka Tz & East Africa

*AFRICAN ARTIST OF THE YEAR*
Tumpigie *Diamond Platnumz* yupo peke yake kutoka Tz & East Africa

*JINSI YA KUPIGA KURA*
Click hii link
Soundcity MVP Awards Festival – Nominees are… Vote Now

Utakutana na vipengele vya tuzo zenyewe na majina ya wasanii husika (Nominees) gusa msanii unayempigia kura. Kura nu mara 1.

Tuache team zisizokuwa na maana. Tulete tuzo nyumbani.

*SAMBAZA KWA GROUPS ZAKO ZOTE*
 
Mlatinoh king

JF-Expert Member
Oct 14, 2015
5,132
2,000
Good......interesting......tuna cha kujifunza hapa......na naomba wadai kodi wasije kumsumbua sumbua mwishowe akate tamaa
 
thesym

JF-Expert Member
Aug 15, 2012
3,346

Mkuu acha basi kufanya spamming kwenye thread za watu. JamiiForums ina majukwaa mengi post panapohusika.
 
Mr.genius

JF-Expert Member
Feb 20, 2012
1,149
2,000
Wakat hiyo story ya kukataa 400M ina trend, nilipoisokiliza tu interview yake kwa mara ya kwanza nlijua tu "huyu si mtu wa kawaida"
 
isajorsergio

Platinum Member
Apr 22, 2018
2,722
2,000
Steve Jobs wasn’t pure American
CEO wa google ni muhindi
Elon Musk ni m South Africa Mwenye asili ya Netherlands

Akifanya ontario ni mpigaji, anatafuta umaarufu hatumpendi
Kaja Benjamin bado wa kishua af sio mbongo

Watanzania washenzi sisi 🤨
Kabisa Zuckerberg ni Jew
 
isajorsergio

Platinum Member
Apr 22, 2018
2,722
2,000
Nimesikia hataki kuajiriwa, sasa mambo ya kununuliwa na PayPal sijui yanatoka wapi?! Anao uwezo afanye peke yake.
Kununuliwa sio kuajiliwa ni mauzo, hata Instagram, WhatsApp na Oculus ziliuzwa kwa Facebook Inc. Ni sawa na kulima mchele kisha kumuuzia mwenye duka.
 
Nanye Go

JF-Expert Member
Oct 29, 2018
6,125
2,000
Jana niliangalia interview yake, analalamikia sheria mbovu na mazingira mabovu ya uwekezaji tanzania. Kama hali ikiendelea kuwa hivi usishangae akiondoka.
Lakini anaweza kusema asaidiwe, lakini akitaka kuwa shujaa ataondika kweli.
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom