Tetesi: MSHAHARA WA MILIONI 400

Bichwa bure

Bichwa bure

JF-Expert Member
Joined
Nov 19, 2017
Messages
220
Points
250
Bichwa bure

Bichwa bure

JF-Expert Member
Joined Nov 19, 2017
220 250
Nimesikia hataki kuajiriwa, sasa mambo ya kununuliwa na PayPal sijui yanatoka wapi?! Anao uwezo afanye peke yake.
Nilivyoona hii comment tu nikahisi utakuwa wewe na Nilivyovuta juu ni kweli.
 
exit

exit

JF-Expert Member
Joined
Feb 14, 2013
Messages
1,501
Points
2,000
exit

exit

JF-Expert Member
Joined Feb 14, 2013
1,501 2,000
Kutoka family Nzuri sio hoja ya msingi kwenye mafanikio ya mtu mfano mzuri ni bill gate tu

Kutoka family Nzuri hakukufanyi utengeneze solution nzuri
Hakukufanyi ulete ushindani kwa level za kimataifa

Kinachopamba na uwezo na uweredi wako sio family hasa tunapokuja kwenye technology

He's smart and he deserves because of work hard of his and the Team
Kutoka kwenye familia nzuri kwa ukanda wetu ni kitu muhimu sana, sababu ndio kitakupa uwezo wa kupata elimu nzuri uitakayo na mahala popote pale.
Isitumie mfano wa Bill Gate kumbuka huyo amezaliwa na kukulia USA elimu yake ya msingi mpaka chuo alipoishia ni tofauti na Tanzania yetu kwa mbali sana.
Uwezo wa familia plus exposure ndio inahitajika kwenye mazingira yetu.
 
jaji mfawidhi

jaji mfawidhi

JF-Expert Member
Joined
Feb 20, 2016
Messages
4,846
Points
2,000
jaji mfawidhi

jaji mfawidhi

JF-Expert Member
Joined Feb 20, 2016
4,846 2,000
Alikuwepo leo Upanga CCC amezungumza vizuri sana. Anasema huwezi kuuwezesha mshumaa wako uwake kwa kuzima mishumaa ya wengine.
kwakweli, naomba ramani ya kufika hilo kanisa
 
jaji mfawidhi

jaji mfawidhi

JF-Expert Member
Joined
Feb 20, 2016
Messages
4,846
Points
2,000
jaji mfawidhi

jaji mfawidhi

JF-Expert Member
Joined Feb 20, 2016
4,846 2,000
asante ngoja nitaenda nijue zaidi habari za YESU
 
malisoka

malisoka

JF-Expert Member
Joined
Jul 8, 2012
Messages
1,605
Points
2,000
malisoka

malisoka

JF-Expert Member
Joined Jul 8, 2012
1,605 2,000
Halafu muelewe huyo ana chembechembe za utajiri since mdogo, amekulia mazingira ya kishua sana na amepata Exposure za kutosha

Baba yake nasikia ni yule Mwenye kituo cha TV cha ATN

"Mtanzania mwenye asili ya Asia"
Ni kweli baba yake ni mwenye TV ya ATN na pia ni Mchungaji wa kanisa la AGAPE.
Huyu mzee ni mpiganaji sana.

Mimi ninamuelewa toka kitambo wakati huo akijihusisha na kuanzishwa christian ministries.
Ni mchahcarikaji sana.
 
General Mangi

General Mangi

JF-Expert Member
Joined
Dec 21, 2013
Messages
13,859
Points
2,000
General Mangi

General Mangi

JF-Expert Member
Joined Dec 21, 2013
13,859 2,000
Bado sijaona jipya kwa Nala...
Kabla ya Nala kulikuwa na Mpesa app, tigopesa app na zote zinafanana na Nala.

Utofauti ni mdogo sana, na hakuna kinachowezekana kwa Nala kikashindikana kwenye app zingine.

Huyu jamaa alichokifanya ni kujitangaza na kuonesha idea yake bongo hazipo
 
Waziri wa Kaskazini

Waziri wa Kaskazini

JF-Expert Member
Joined
Dec 12, 2015
Messages
4,039
Points
2,000
Waziri wa Kaskazini

Waziri wa Kaskazini

JF-Expert Member
Joined Dec 12, 2015
4,039 2,000
Prof Lipumba anakula mpunga Buguruni bila kuumiza kichwa, elimu ya ngozi nyeuzi tii itaendelea kufa na elimu yake kichwani bila kutumia elimu yake kusaidia jamii.....

Hongera sana Benja... Kwa kuitumia vilivyo elimu yako
 

Forum statistics

Threads 1,303,521
Members 500,948
Posts 31,484,419
Top