Nimesikia hataki kuajiriwa, sasa mambo ya kununuliwa na PayPal sijui yanatoka wapi?! Anao uwezo afanye peke yake.Jiulize WhatsApp ananufaikaje? Kikubwa ni kusupport hiyo NALA ikifikia level flani atanufaika zaidi kuliko hizo fedha za Tuzo
Usishangae NALA inanunuliwa na PayPal akapata kuwa Board of Director.
Unakuwa inspired kama unajua anachokifanya, kuna watu hatujui hata programing language ikoje, sasa tuwe inspiref nanini, pesa anazopata?!Bado tunaleta majungu badala ya kuwa inspired
no ni mtanzania mwenye asili ya ureno. mababu zake ni wale wakoloni wa kireno enzi hizo waliotia timu pale tangaHalafu muelewe huyo ana chembechembe za utajiri since mdogo, amekulia mazingira ya kishua sana na amepata Exposure za kutosha
Baba yake nasikia ni yule Mwenye kituo cha TV cha ATN
"Mtanzania mwenye asili ya Asia"
Mkuu acha basi kufanya spamming kwenye thread za watu. JamiiForums ina majukwaa mengi post panapohusika.*TUWAPIGIE KURA WASANII WETU MVP MUSIC AWARDS.* Hizi ni tuzo kubwa huko Nigeria. Turudishe heshima ya Tanzania.
Kwa kuwa wasanii wetu wengine wako wawili kwenye kipengele kimoja tupange tumpigie nani kura kila kipengele ili tusigawanye kura na tukashindwa kuchukua tuzo.
Vipengele:
*BEST MALE*
Hapa yupo Harmonize na Diamond. Tumpigie HARMONIZE kwa kuwa Diamond yupo kwenye vipengele vingine vingi.
*BEST FEMALE*
Tumpigie Maua Sama. Yupo peke yake toka Tz na East Africa
*BEST HIP HOP*
Hapa hakuna mbongo. Tumpe Khaligraph Jones mkali jirani yetu toka Kenya.
*BEST POP*
Tumpigie *Diamond Platnumz* yupo peke yake toka Tz na East Africa
*BEST COLLABORATION*
Hapa kuna JIBEBE na KATIKA. Tuipigie kura KATIKA YA NAVY KENZO kwa kuwa Diamond bado yupo kwenye vipengele vingine vingi. Isitoshe na kwenye KATIKA yumo
*DIGITAL ARTIST OF THE YEAR*
*Tumpigie Diamond Platnumz.* Hapa yupo peke yake kutoka Tanzania & East Africa
*BEST GROUP OF THE YEAR*
Tuwapigie Navy Kenzo
*SONG OF THE YEAR*
Hapa kuna *African Beauty ya Diamond*, na kuna *KWANGWARU* ya Harmonize na Diamond. Tuipigie *KWANGWARU* maana itapata kura nyingi zaidi toka nchi nyjngine za Africa kwa kuwa mpaka sasa ndo most viewed African music video kwa 2018. Na pia Diamond yumo
*BEST NEW ARTIST*
Tumpigie MBOSSO. Yupo peke yake kutoka Tz & East Africa
*LISTENERS' CHOICE*
Hapa ipo KATIKA ya Navy Kenzo na KWANGWARU ya Navy Kenzo. Tuipigie KATIKA ya Navy Kenzo maana KWANGWARU tushaipigia hapo juu
*AFRICAN PRODUCER OF THE YEAR*
Tumpigie NAHREEL yupo peke yake kutoka Tz & East Africa
*AFRICAN ARTIST OF THE YEAR*
Tumpigie *Diamond Platnumz* yupo peke yake kutoka Tz & East Africa
*JINSI YA KUPIGA KURA*
Click hii link
Soundcity MVP Awards Festival – Nominees are… Vote Now
Utakutana na vipengele vya tuzo zenyewe na majina ya wasanii husika (Nominees) gusa msanii unayempigia kura. Kura nu mara 1.
Tuache team zisizokuwa na maana. Tulete tuzo nyumbani.
*SAMBAZA KWA GROUPS ZAKO ZOTE*
basi ndio maana amerithi utajiri pengineno ni mtanzania mwenye asili ya ureno. mababu zake ni wale wakoloni wa kireno enzi hizo waliotia timu pale tanga
naskia nchi kibao za kiafrika wanataka aende akafanyie kwao.Nimesikia hataki kuajiriwa, sasa mambo ya kununuliwa na PayPal sijui yanatoka wapi?! Anao uwezo afanye peke yake.
Hahaha akafanye nini sasa?! Mi nadhani kama ni kazi hata hapa zipo.naskia nchi kibao za kiafrika wanataka aende akafanyie kwao.
yaan hiyo app wanaka aende akafanyie kwaoHahaha akafanye nini sasa?! Mi nadhani kama ni kazi hata hapa zipo.
Kabisa Zuckerberg ni JewSteve Jobs wasn’t pure American
CEO wa google ni muhindi
Elon Musk ni m South Africa Mwenye asili ya Netherlands
Akifanya ontario ni mpigaji, anatafuta umaarufu hatumpendi
Kaja Benjamin bado wa kishua af sio mbongo
Watanzania washenzi sisi 🤨
Kununuliwa sio kuajiliwa ni mauzo, hata Instagram, WhatsApp na Oculus ziliuzwa kwa Facebook Inc. Ni sawa na kulima mchele kisha kumuuzia mwenye duka.Nimesikia hataki kuajiriwa, sasa mambo ya kununuliwa na PayPal sijui yanatoka wapi?! Anao uwezo afanye peke yake.
Alafu ukishajua Itakusaidia nini?Bado sielewi....anafaidikaje kwa hiyo app?
Ili iweje, kwani hapa hakuna vitendea kazi?! Kama ubia waingie naye hapa hapa kitakachozalishwa kiwe made in Tanzania.yaan hiyo app wanaka aende akafanyie kwao
Jana niliangalia interview yake, analalamikia sheria mbovu na mazingira mabovu ya uwekezaji tanzania. Kama hali ikiendelea kuwa hivi usishangae akiondoka.Ili iweje, kwani hapa hakuna vitendea kazi?! Kama ubia waingie naye hapa hapa kitakachozalishwa kiwe made in Tanzania.
Lakini anaweza kusema asaidiwe, lakini akitaka kuwa shujaa ataondika kweli.Jana niliangalia interview yake, analalamikia sheria mbovu na mazingira mabovu ya uwekezaji tanzania. Kama hali ikiendelea kuwa hivi usishangae akiondoka.