Mshahara wa July 2019 vipi?

Mshahara wa July 2019 vipi?

Hahahaah juzi nimeenda Mwenge kusuka kule ambapo wanasemaga chini ya 30k hawasuki nikawaambia nina alfu 10 rasta zangu akagoma nikapangusa makalio niondoke akanirudisha eti njoo tu si tunaelewana?! Dah maisha yamekuwa magumu aisee
Hatari sana!
 
Mwezi uliopita (June) 2019 salary imetoka tarehe 19.Kesho ni mwisho wa mwezi tujongee ATM mapema.
JULY IMEISHAAAAAA FANYENI KAZI AVHENI MAZOEA HIZO TAR N UTASHI WASERKL WENZENU WANALIPWA 30-31 TAR
JIFUNZENI KUHIFADHI PESA MPAKA.MWISHO WA.MWEZI MSIPIGIWE WAKE ZENU
 
Huyu mzee akiwa kwenye majukwaa anavyotamba,,, mishahara inalipwa tarehe 19 tofauti na huko nyuma,,
Daaaah kwa style hii utendaji kazi utakua zero aisee
Tatizo huyu mzee mpaka aamue mwenyewe,kila kitu yeye,vitu haviend,ukitoka tar 19,anatamba kila jukwaa analosimama.Haya ni mapungufu ya katiba yetu.
 
Hakuna na wameshindwa kukontroo tarehe maalumu ya kutoa mishahara.Kila mwezi na tarehe yake mara 19, 22, 24, 27 wapi na wap!!!!!!
Mkulu alisema siku hizi nawapa 19 sasa mpk leo 19 bado?????? Tatizo nini hapa????
 
Back
Top Bottom