Mshahara wa July 2019 vipi?

Mshahara wa July 2019 vipi?

Hureeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee
Ahsante Mungu, nakushukuru baba wa mbinguni,
ahsante umewezesha hili limefanikiwa, yaani nilitegemea ningepata tangia 19/7/2019 lakini sikuona hadi leo hii 24/7/2019 ndio nimeona.
Nimefurahi sana kupata hii kitu.
NIMEONA SIKU ZANGU, NILIKUWA NA WASIWASI WA KUPATA MIMBA ILA LEO NIMEPATA MP
🙄🙄🙄🙄🙄🙄🙄🙄🙄🙄🙄🙄🙄🙄🙄
kumbe wewe ni KE
 
Nakuamini sana Nakwede, habari za kweli hizi
 
Hakuna na wameshindwa kukontroo tarehe maalumu ya kutoa mishahara.Kila mwezi na tarehe yake mara 19, 22, 24, 27 wapi na wap!!!!!!
Mkulu alisema siku hizi nawapa 19 sasa mpk leo 19 bado?????? Tatizo nini hapa????
Yaan saiv mambo magum aisee pesa sina dah!
 
Hureeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee
Ahsante Mungu, nakushukuru baba wa mbinguni,
ahsante umewezesha hili limefanikiwa, yaani nilitegemea ningepata tangia 19/7/2019 lakini sikuona hadi leo hii 24/7/2019 ndio nimeona.
Nimefurahi sana kupata hii kitu.
NIMEONA SIKU ZANGU, NILIKUWA NA WASIWASI WA KUPATA MIMBA ILA LEO NIMEPATA MP
🙄🙄🙄🙄🙄🙄🙄🙄🙄🙄🙄🙄🙄🙄🙄

😂😂😂😂😂 Nakwende nenda haraka sana sana Mirembe hauahhaa ...uwiiii😂😂😂😂😂😂😂
 
Jamani tafuteni vyanzo vingine vya pesa. Kuwa mfanyakazi sio mwisho wa kufanya shughuli nyingine za kukuingizia kipato
 
Back
Top Bottom