Muzine
JF-Expert Member
- May 4, 2017
- 32,366
- 60,480
Itabidi tuanzishe Uzi maalumu kwa wale tunaosubiria mshahara
NIMECHEKI SASAHIVI 4:30PM MSHAHARA BADO
NIMECHEKI SASAHIVI 4:30PM MSHAHARA BADO
Hahahaah juzi nimeenda Mwenge kusuka kule ambapo wanasemaga chini ya 30k hawasuki nikawaambia nina alfu 10 rasta zangu akagoma nikapangusa makalio niondoke akanirudisha eti njoo tu si tunaelewana?! Dah maisha yamekuwa magumu aiseeKweli aisee 😂😂😂
Na wewe ni muajiriwa wa serikali?? au unasubiri mshahara wa danga lakoItabidi tuanzishe Uzi maalumu kwa wale tunaosubiria mshahara
Hahahaah juzi nimeenda Mwenge kusuka kule ambapo wanasemaga chini ya 30k hawasuki nikawaambia nina alfu 10 rasta zangu akagoma nikapangusa makalio niondoke akanirudisha eti njoo tu si tunaelewana?! Dah maisha yamekuwa magumu aisee
Na wewe ni muajiriwa wa serikali?? au unasubiri mshahara wa danga lako
Raha ya mshahara bwana,ghafla na wewe umeshaanza majigambo ya Mayweather...!Tayar HahahahaView attachment 1160480
ukisha daunlodi ulete pm nihakikisheNi muajiriwa wa serikali jaman . Kudanga saiv si unaona hela hazijatoka madanga yotee yako kwa wake zao tabuu kweli kweli mm Nina mishahara miwili tena mwezi Huu nitadownload salary slip
ha ha ha haRaha ya mshahara bwana,ghafla na wewe umeshaanza majigambo ya Mayweather...!
Raha ya mshahara bwana,ghafla na wewe umeshaanza majigambo ya Mayweather...!
ukisha daunlodi ulete pm nihakikishe
Nimeumis mshaharaaa chungu cha 35 leo toka uandame mwezi uliopita.
ukisha daunlodi ulete pm nihakikishe
Mtaishi kama mashetani. Stone akisoma hizi posts roho yake kwatu kabisa.
Nami nausubiri kama mashetani wengine.Nitumie elf 10 boss maana tunaotegemea mshahra tumechacha