Mshahara wa July 2019 vipi?

Mshahara wa July 2019 vipi?

Hakuna na wameshindwa kukontroo tarehe maalumu ya kutoa mishahara.Kila mwezi na tarehe yake mara 19, 22, 24, 27 wapi na wap!!!!!!
Mkulu alisema siku hizi nawapa 19 sasa mpk leo 19 bado?????? Tatizo nini hapa????
fanya kazi pombe haikusaidii chochote.
 
Mida hii katika moja ya ATM nimepitia kabla ya kuingia ofisini naona kila anaeingia anatoka na risiti tu .

Nimetoa naambisa P E S A H A Z I T O S H I

#Pesa ya mshahara mmeelekezea wapi Safari hii???
 
Kufulia hakuna mwenyewe.
Miezi mingi imepita, kila mshahara unapotoka mfukoni nina fedha nilizozipata kwa kupiga madili. Kuna mtu kashituka aliposikia neno kupiga dili. Si kila dili ni haramu, madili mengine ni shughuli halali.
Mwezi huu, nimebanwa hadi nashangaa. Mfukoni nina 4 tu mpaka sasa, kama salary haijatoka mpaka jioni naingia road napiga bodaboda.
Magu shikamoo.
 
Hureeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee
Ahsante Mungu, nakushukuru baba wa mbinguni,
ahsante umewezesha hili limefanikiwa, yaani nilitegemea ningepata tangia 19/7/2019 lakini sikuona hadi leo hii 24/7/2019 ndio nimeona.
Nimefurahi sana kupata hii kitu.
NIMEONA SIKU ZANGU, NILIKUWA NA WASIWASI WA KUPATA MIMBA ILA LEO NIMEPATA MP
🙄🙄🙄🙄🙄🙄🙄🙄🙄🙄🙄🙄🙄🙄🙄
 
Back
Top Bottom