Mshahara wa July 2019 vipi?

Mshahara wa July 2019 vipi?

Yaani Bakhresa, Mo, Manji, Hans Poppe, Mremi, Olomi (na waachuuzi wengine walioamua kuwa waachuuzi) wawaonee wivu watu walioajiriwa?[emoji16][emoji16][emoji16]
Kwahyo tz nzima wachuuz sampuli ya hao Ni asilimia ngapi? Kwahyo wewe na kiduka Chalo Cha laki 2 unajiona una biashara? Wakati hiyo laki mbili Ni posho ya kikao Cha Siku moja kwa baadhi ya waajiriwa?
 
Mnamteta sana mkuu amemind sana mwezi huu mtakula jeuri yenu
 
C ungenisaidia?Kuanzia Leo napunguza mazoea na wewe!Kumbe ndio ulivyo huchelewi kunitangaza!Mbona mi udangaji wako nimenyamaza tu!Sio vizuri kutangaza ya watu!
[emoji23] [emoji23]
 
sisi tunauza barafu hatuna shida kabisa pesa ya kula tunapata hata mashahara
hautuizi kichwa
 
Back
Top Bottom