Mshahara wa July 2019 vipi?

Mshahara wa July 2019 vipi?

Hela mlimaliza 77??? Ngoma hii hadi tar25 hivyo mtangojeka sana
 
Mshahara tayari
Kuna ongezeko kubwa sana!
JPM katufanyia suprise kwa kweli!
Wahini kwenye ATM mkachague lugha
😨😨😨😨😨😨😨😨😨😨
Alisikika mlevi mmoja mtaani kwetu leo asubuhi akinena maneno hayo!
🏃‍♀️🏃‍♀️🏃‍♀️🏃‍♀️🏃‍♀️🏃‍♀️🏃‍♀️🏃‍♀️🏃‍♀️🏃‍♀️🏃‍♀️🏃‍♀️🏃‍♀️
😂😂😂😂😂😂😂😂
 
Wakuu with all serious note, hii issue ya mshahara imekaaje... si kawaida mpka muda huu bilabila. Kuna mafundi wako site nikitegemea hela ingetoka toka jana, niliweza kuwapiga kiswahili jana ila leo sijui ntawaambia nn
 
Tar 24 ndi uhakika. Bora mafundi wasubiri kama unavyosubiri.
 
Back
Top Bottom