Mshahara wa July 2019 vipi?

Mshahara wa July 2019 vipi?

Bado hapa mimi nacheki muda wote ila madaraja na increment vimechelesha.
kwa hiyo mshahara umeshaingia ila madaraja na nyongeza ndio bado si ndio !!! .....🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
 
Back
Top Bottom