Wajaluo ndio wajinga wakutupwa? Lahaula shemeji zangu hawaHakika wewe ni mjaluo
Wajaluo ndio wajinga wakutupwa? Lahaula shemeji zangu hawaHakika wewe ni mjaluo
Vipi tetesi za nyongeza zipoje naskia kimya kimya wanaongeza mkuu?
Japo nidanganye mkuu nipate matumaini mana maisha yenyewe mafupi




kuna mtu kanidokeza kuwa kuna nyongeza, nilivombana mbavu hakufunguka ni kiasi gani,








Ahahha hamna nyongeza au..?
Asante sana mkuu ingawaje siwezi kupoa.Pole sana
Mkuu sana je ume fatilia kwa afisa utumushi wko kakupa majibu gani maana kuna kipindi barua za kupanda Daraja zilifutwaa ulitakiwa uandike mpyaMkuu maumivu niliyonayo namshitakia Mungu. Haiwezekani mtu umeanza naye kazi siku moja halafu yeye apande wewe ubaki. Na ALAANIWE anayepandisha madaraja kibaguzi yeye na uzao wake.
Mkuu sana je ume fatilia kwa afisa utumushi wko kakupa majibu gani maana kuna kipindi barua za kupanda Daraja zilifutwaa ulitakiwa uandike mpya
Wilaya niliko naona badoKwani umetoka?
Oooh mkuu mwezi wa mwaka mpya wa fedha huu jamaniHakuna nyongeza
Hata ukifanya biashara utakua mtumwa kwa wateja wako sioni logic hapo, ukitaka ueleweke vizur tafuta kitu kingine cha kuongeaEndelea kuwa mtumwa wa mshahara
Mkuu,aandike upya barua ya kupanda daraja kivipi? Fafanua tafadhali.
kuna mtu kanidokeza kuwa kuna nyongeza, nilivombana mbavu hakufunguka ni kiasi gani,
Ngoja ukitoka tutajua ni kweli ama lah?
![]()
Utashangaa mtu wa hivyo anaishi kwa shemeji.Hata ukifanya biashara utakua mtumwa kwa wateja wako sioni logic hapo, ukitaka ueleweke vizur tafuta kitu kingine cha kuongea
Ni mjinga uyo anajua kwamba watumishi wa serikali Ni laki tano na kadhaa na sio million 5...Yaani ni wachache sana wengi wanabangaiza maisha mtaani lakin ana guts za kuongea shot juu yao...Utashangaa mtu wa hivyo anaishi kwa shemeji.
Hajanitonya kabisa,Hajakutonya unatoka lini mkuu?




Ngoja j3 ntaweka kambi kwenye hii postHajanitonya kabisa,
Ila amesistiza mzigo umeongezwa,,
![]()
Yan Hawa wachuuz wanaonaga wivu Sana kwa waajiriwa sijui kwann
Barua utapewa mshahara ukibadirika kupunguza mapunjoToka nimekosa barua ya daraja sina hamu na mshahara wa mwezi huu.
Kwa mwandiko huu utakuwa kuli hapo ofisini kwenuHahahh mku usifikie hitimisho la "mbona itakuwa powa sana"
Kama wamepngeza naomba 2020 tujitokeze kwa wingi kumpigia magufuli huyu ndo RAHISI weyu
Umetisha SanaHuyu atakuwa na dole gumba kubwa sana maana 'A' na 'I' zipo mbalimbali kwenye keyboard hata hazipakani.