Sasa ngoja nikuibie siri! Niliacha hayo mambo some 12 yrs back. Hapa kuna issue/information naitafuta tu!Kaka Retired sasa tuache utani. naongea ukweli. nimeongea na watu wa BoT, wamesema wanamalizia utaratibu na LEO HII MSHAHARA UTATOKA. uwe amani. Leo pesa inatoka mkuu

