Mshahara wa Februari

Mshahara wa Februari

Hivi inawezekana kuishitaki bodi kama una ule mkataba wa makubaliano wa 8%?

Masada wa kisheria tafadhali.
Kwani nawe hapo ofisini kwako umejulishwa tangazo kama hilo?Pengine hutegemeana na eneo ulipo
 
Hahahh nicheke mie, hii nchi bwana, kumkata mtu mshahara huitaji uhakiki wa watumishi hewa wala uhakiki wa vyeti!!!!

Kumuongezea mtu hela unahitaji uhakiki wa hewa na uhakiki wa vyeti!!!

Yaani utadhani walipania kukomoa watu!!!! Basi roho zina wasuuuuzika mkiwakamua watumishi ili waishi kama mashetwain!!!!! Mxuuuuuuuuuuuuuuuu !!!

Si kwa makato hayo!!!


Afu kuna vilabu vinaitwa Tugeeee na CWT CHINI YA Tukutaaaaa, kimya kweliiiii, wanaogopa hao skuiz, utadhani hawapo!!!

Asanteni ila tunakoelekea naona anakujua yeye!!!!! Maaaaana!!

Ila kama tungekua naakili hili likifanyika kunahaja yakwenda kupika vitumbua niwauzie mtaobaki maofisini!!! Kha!!!!!
 
Hivi nyie wanasheria TLS mnaopanua madomo yenu Tundulisu ataleta siasa TLS hili hamlioni? Yaani mkataba wa loan board umekiukwa , wananchi tunaonewa mmekaa kimya kabisa hata hamkemei au kufungua kesi, jamani tupo tayari kulipa lakini si kwa kiwango hicho...

TLS wake up au tutawadhalau tu
 
Lipeni mikopo na wadogo zetu na wenyewe wapate mikopo wakati
mnacheleweshewa mikopo kipindi kile mlikuwa mnagoma na kuandamana mkiisakama bodi iwawahishie mikopo leo hii mnalalamika nini? Dawa ya deni kulipa lipeni mikopo kulalamika haisaidii vifisadi nyie vya reja reja kodi zetu tuwakopeshe hamtaki kulipa lipeni pesa za watu
sawa hatugomi kulipa wala hatugomi kuongezwa kwa asilimia ya makato....ona mwanzo ilikuwa 5% ikapanda paka 8%....sasa kwanini wasiipandishe paka walau 10%?....wameipandisha paka 15%?...yaani 7%kw ghafla tuu...ukiangalia sasa hiv maisha yako juu?...kuhusu kulipa wala hakuna tatizo maana mm binafsi naamini bila load board hii elimu nsingeipata
 
Lipeni mikopo na wadogo zetu na wenyewe wapate mikopo wakati
mnacheleweshewa mikopo kipindi kile mlikuwa mnagoma na kuandamana mkiisakama bodi iwawahishie mikopo leo hii mnalalamika nini? Dawa ya deni kulipa lipeni mikopo kulalamika haisaidii vifisadi nyie vya reja reja kodi zetu tuwakopeshe hamtaki kulipa lipeni pesa za watu
Katika ng'ombe wite hapa Tanzania wewe ni ng'ombe kasoro mkia
 
Mjinga mmoja we , huna uhakika na unalosema.
Hivi kama wewe umeenda Bank kukopa Milioni 3 mkakubaliana kwa mkataba halali baada ya miaka miwili utalipa milioni 4 , marejesho pamoja na riba ni Laki na nusu kwa mfano. Baada ya miezi sita au Mwaka ukakuta tangazo Bank WENYE MIKOPO WOTE KUANZIA LEO MAREJESHO YATAKUWA 350,000/= kwa Mwezi utafurahia ili wenzako wakope eti ?
Jiheshimu basi ndugu usifanye zihaka Msibani kwani hujui kilio kinachofata ni kwa nani.
Achana nalo hilo , utakuta linaishi kwa shemeji.
 
Mbona watumishi wengi kuanzia 2015- kwenda chini Mkataba wao na Serikali kupitia Bodi ya Mikopo ya Elimu ya Juu ulikuwa ni Kukatwa 8% Sasa hiyo 15% inatoka wapi ni Mkataba Mpya au vipi tena.

Serikali lazima itambue Watumishi wengi
wanamikopo kwenye Taasisi mbalimbali za Kifedha hivyo kupandisha makato kutafanya Watumishi kuishi chini ya Theluthi 1/3 ya mishahara yao hivyo kupunguza tija kazini.

Kwanini hiyo 15% isitumike kwa Waajiriwa wapya kama huko Vyuoni walisaini Mikataba ya 15%.

Vyama vya Wafanyakazi simameni Imara katika hili siyo kukusanya michango mnayokula bila kazi ya maana, nanyi ni majipu tu hamna msaada wowote kwa watumishi. Mishahara haipandi mpo kimya, makato yanaongezeka mpo kimya, sasa mna faida gani kwa Watumishi wa Umma bora mvunje hivyo Vyama ambavyo ni chaka la kumuibia Mtumishi wa Umma.
Labda Mahakama kuu itoe tafsiri kama ikiwezekana kwamba mtu aliyekopa kwa makubaliano ya riba asimila kadhaa, je sheria inaruhusu nyongeza ya riba katika kipindi cha LOAN REPAYMENT,yaani katikati ya muda ambao mkopaji analipa, sheria inaruhusu bila ya terms na conditions?
 
Uhakiki bado kwenye kuowaongezea watumishi increments zao toka mwaka jana, waliopanda madaraja hawajalekebishia mishahara yao.......! kinachonishangaza sasa watumishi kukakwa 15% ktk mishahara yao huku swaga za uhakiki zikiendelea mpaka March 3. Hakika huu ni uonevu, ni kheri wangeanza kukata hiyo asilimia pale ambapo wamesharekebisha mishahara ya watumishi. TWAFWAA
 
Hawan

Hawana msaada wowote ni kukata hela za watu na kuneemesha matumbo yao.
Kwa nini hamjitoi kwenye hivyo vyama.
Shida yetu watanzania, sijui kama nchi nyingine ni hivyo pia, watu ha(wa/tu)pendani yaani mtu akisha wekwa kwenye kiti akawa kiongozi hajali anaopaswa kuwatetea anajali maslahi anayoweza kupata.

So mda mwingine ni kama visiwepo au kuwe na uwezekano wa kuwawajibisha ipasavyo ili wasipende kwenda hapo kwa maslah yao
 
sawa hatugomi kulipa wala hatugomi kuongezwa kwa asilimia ya makato....ona mwanzo ilikuwa 5% ikapanda paka 8%....sasa kwanini wasiipandishe paka walau 10%?....wameipandisha paka 15%?...yaani 7%kw ghafla tuu...ukiangalia sasa hiv maisha yako juu?...kuhusu kulipa wala hakuna tatizo maana mm binafsi naamini bila load board hii elimu nsingeipata
Tuendeleee kuomba mawakili waingilie hapo coz hatuoni michango yao ya kisheria
 
Ivu hiyo 5% ilikuav lini. na ti 8% ilipanda lini.

Maana nna wasi wasi bado na hiyo 15% ni kwa wote au. Ni mtu katuma tu. Coz niki piga hesabu.
Paye. 18%. Social security 10%, nhif 3%.hadi hapo umekatwa 31%. Uongeze 15%= 46%. Mmh . . kuna nchi nilisikia wanakatwa kodi 50% naona now ni kama hakuna tofauti na mtu huyu wa tz.
Labda ni benefits ambazo hiyo nchi inawapa wananchi wake huko. . .
Tofauti na huku.
KAMA HIYO 15% NI KWELI!!!
 
Back
Top Bottom