Manstone
JF-Expert Member
- May 12, 2013
- 516
- 315
Duuuuuuh yaani mkuu umeuliza swali gumu sana
mkuu hii nchi haina wazalendo hata mmoja kabisa
Duuuuuuh yaani mkuu umeuliza swali gumu sana
Duuuuuuh yaani mkuu umeuliza swali gumu sana
Jibu la hili swali linaweza kukufanya uende hata usipopendaugumu wake mkuu ni nini?
Sasa mjomba tutakula nini?Mimi nashauri wakate asilimia hamsini(50%)ili tumalizane tuanze kupanga maisha