Mshahara wa Aprili umetoka

Mshahara wa Aprili umetoka

Aiseee ina dawa ni kutega tu, turun mambo yetu mitaani ....ni kuingia saa3 unatoka saa7

Hahahaha mm sielewagi kabisa kinachoendelea mpka nikae 8hrs job Basi siku hiyo Kuna semina ya posho au nimesafiri kikazi
We jamaa kama unanizungumzia mimi, huwa nakaa naongea na washkaji ila ikifika muda huo, unaweza kuongea nami ila akili iko mbali kabisa nawaza mishe.
 
Mkuu jinsi serikali inavotutendea lazma na sisi tujiongeze
We jamaa kama unanizungumzia mimi, huwa nakaa naongea na washkaji ila ikifika muda huo, unaweza kuongea nami ila akili iko mbali kabisa nawaza mishe.
 
Tuwahini kwenye akaunti zetu wakuu, Kimfaacho ni chake hata kama kasungura kenyewe kadogo.

Sikukuu oyeeeeeeeeeeee...
Hataki kuongeza mishahara.

Hataki kuweka annual increament ambayo ipo kisheria maana yupo juu ya sheria.

Amebaki kuwahisha masihara ili apate kiki.

Xnhfudz xxxhdjj ekfeocae. Whatever that means.
 
Nyie furahini tu..

Magufuli hapo kashapata cha kuwajibu watumishi Mbeya..

"mshahara wenyewe tunatoa tar 19 alafu mnalalamika"..

Subirini.
 
Baadhi ya watumishi kahama mji mambo bado ayajasoma na sikukuuu ndo iyo na kwanini mwezi huu kumekuwa na waliopata kwa wakati na wasiopata kwa wakati tatizo liko wapi?
 
Mkuu mshahara haujatoka uzi Hakuna ukweli. Labda leo jioni ikishindikana mpaka 24/04
Baadhi ya watumishi kahama mji mambo bado ayajasoma na sikukuuu ndo iyo na kwanini mwezi huu kumekuwa na waliopata kwa wakati na wasiopata kwa wakati tatizo liko wapi?
 
Haya ni mafanikio makubwa sana kwa serikali hii kulipa mshahara tarehe 19.

Haijawahi kutokea toka uhuru wa Nchi hii. Magufuli hoyeeeeeeeeee.....
Unajua Mwezi wa 3 tulilipwa tarehe ngapi?
 
Haina ukweli siku hizi Wafanyakazi wote hupokea tarehe moja.
Ahaha...we jamaa wewe! Unadhani watu wanaoandika humu wanajifurahisha sio!? kwamba hawana kazi za kufanya?

Kwa taarifa yako, mimi Mshahara umeingia Tarehe 18 Alhamisi usiku kabisa. Nimeamka Ijumaa alfajiri, nimekuta meseji ya kuingia kwa mshahara kutoka NMB MOBILE.

utakuwa umezoea kudanganywa huko kwenu na watu wanaokuzunguka.
 
wewe siyo mfanyakazi kabisa
 
Back
Top Bottom