Ila walimu wa shule za Serikali wanajiaibisha sana

kyagata

JF-Expert Member
Joined
Oct 18, 2016
Posts
13,965
Reaction score
26,206
Yani mshahara ukitoka tu wanakua kama watoto au utadhani huo mshahara wanapewa kama hisani na wakati ni haki yao.

Kwanza utashangaa wanapigiana simu kupeana taarifa kuwa mshahara umetoka,halafu utawakuta Kwenye ATM ya bank wamepanga mstari mreeefu kusubiri kutoa hela.

Unakaa unajiuliza hawa watu walikua hawana hata mia mfukoni kiasi kwamba ni lazima wote watoe pesa siku moja?
 
Sio Walimu isipokuwa most of Six figure earners are living paycheck to paycheck life .

Kama umekaa na Askari police , wanajeshi n.k mshahara ukitoka lazima utajua na ukiwa unafanya biashara karibu na wanapoishi siku hiyo mauzo yako yatakuwa juu.

Sasa ikiwa wanajeshi wenye vyeo wanapanga foleni na kupigiana simu je utakuaje hao walimu wa Primary wanaopata laki moja baada ya makato ya kodi na mikopo mbalimbali
 
Chief kumbe wajeda nao ni six figures??
 
Mchana foleni
Sema walimu wamezidi na sijui huwa wanafikiria nn

Wakati nipo field kuna Mwalimu alikuwa na Gari Ila anakuja na mchicha ofisini anauzia walimu wenzake

Nikawa najiuliza Kama anaendesha gari ya 10M kwanini asingefungua biashara hata duka la mangi ikawa Kama side hustle kuliko kuuza mboga za majani ili apate Mafuta ya Gari.

Muda mwingine walimu hawapo Creativity in making money .

Ukiwa na access ya kupata mkopo Ila ukanunua Gari la kutembelea ambalo haulimudu then ukaanza kuuza mchicha wa 200 ili tu upate mafuta ya Gari unakuwa haupo serious na kiuchumi unakuwa unajikandamiza
 
Sema walimu wamezidi na sijui huwa wanafikiria nn

Wakati nipo field kuna Mwalimu alikuwa na Gari Ila anakuja na mchicha ofisini anauzia walimu wenzake

Nikawa najiuliza Kama anaendesha gari ya 10M kwanini asingefungua biashara hata duka la mangi ikawa Kama side hustle kuliko kuuza mboga za majani ili apate Mafuta ya Gari.

Muda mwingine walimu hawapo Creativeness in making money .

Ukiwa na access ya kupata mkopo Ila ukanunua Gari la kutembelea ambalo haulimudu then ukaanza kuuza mchicha wa 200k ili tu upate mafuta ya Gari unakuwa haupo serious na kiuchumi unakuwa unajikandamiza
Kwahiyo kama ana eneo na kalima mchicha na wateja ndo hao asiuze? Auache tu kisa gari la mil 10 la mkopo?
 
Hana Eneo huyo isipokuwa alikuwa ananunua pale Tandika kuna sehemu panaitwa Mahakama ya Mboga .

Alikuwa anafanya ujasiriamali uchwara ambao unaonesha alikuwa Ana upeo wa chini wa kufikiri.

Kwakuwa ananunua Mboga za 2000 ili atafute 4000 wakati alikuwa yupo katika nafasi nzuri ya kuanzia sehemu ya katikati kiujasiriamali.
 
Yani mshahara ukitoka tu wanakua kama watoto au utadhani huo mshahara wanapewa kama hisani na wakati ni haki yao.
Kwanza utashangaa wanapigiana simu kupeana taarifa kuwa mshahara umetoka,halafu utawakuta Kwenye ATM ya bank wamepanga mstari mreeefu kusubiri kutoa hela.
Unakaa unajiuliza hawa watu walikua hawana hata mia mfukoni kiasi kwamba ni lazima wote watoe pesa siku moja?
Sasa hao wa shule za private wa sh. Laki nne ungewasikia wapi mshahara wenyewe unalipwa tar 30 au ht mwezi mwingine. Walimu wa serikali kwanza ni Taifa kubwa na ndio wenye uhakika wa kulipwa bila kupitisha ht siku moja hao wengine wako km watoto yatima. Private ni wadhulumaji na wanyanyasaji, mshara laki 4 na hauongezeki mpk unastaafu au unaacha kazi.
 
Back
Top Bottom