Headmistress...wewe ulizia tu pension zetu nazo vipi?!Sie watumishi wa zamani tunaandika nini.
Mi nahisi wanazuga tu.Mishahara imetoka kweli au mnazuga tu
Mi nahisi wanazuga tu.
Kama ni kweli itabidi tuandamane kupinga kuwahishiwa mishahara hivi kama ambavyo tungeandamana ingechelewa. 😂😂
Kama ni kweli hii sio sawa kabisa. Watu tarehe 25 tutakuwa tumekaukiwa halafu una zaidi ya siku 28.Hahahah maana unaanza kuifikiria hiyo distance ya mwezi ujao SI mchezo
Aiseee ina dawa ni kutega tu, turun mambo yetu mitaani ....ni kuingia saa3 unatoka saa7Kama ni kweli hii sio sawa kabisa. Watu tarehe 25 tutakuwa tumekaukiwa halafu una zaidi ya siku 28.
Anyways, kujiongeza kunatuhusu hapa
Kabisa yaani. Mood ya kufanya kazi unafanya kuidownload, vinginevyo huwezi kufanya kazi. Nimejipa miaka yangu kadhaa nisepe niendelee na mambo yangu.Aiseee ina dawa ni kutega tu, turun mambo yetu mitaani ....ni kuingia saa3 unatoka saa7
Hahahaha mm sielewagi kabisa kinachoendelea mpka nikae 8hrs job Basi siku hiyo Kuna semina ya posho au nimesafiri kikazi
Kabisa yaani. Mood ya kufanya kazi unafanya kuidownload, vinginevyo huwezi kufanya kazi. Nimejipa miaka yangu kadhaa nisepe niendelee na mambo yangu.
Kuna uzi mtu mmoja kasema waTz ni wavivu sana watu wamemjia juu kweli kweli.Kwa utawala huu usisepe kwanza, hii mijamaa ina roho mbaya Sana...hata huko kwenye business utakumbana na mavikwazo balaa Anza kuzirun ukiwa unakula msahahra wao wa bure huku ukitega kuingia kazini ila hakikisha maafisa utumishi mko nao fair, mimi nilikuwa HQ huko walikuwa wanabana Sana, tulikuwa tunasaini kwa mifumo ya electronics ya fingerprint nikaomba uhamisho kuja mkoani, huku daftari tu siingii siku4 nikija nasaini zote...huku nimekuta Ofisi ni kudoji tu mpka mkurugenzi mnapeana zamu na masaa, kazi haziendi kabisa kila mtu anafanya mambo yake
Kumbe ndio maana waajiri wanapenda Wakenya na WahindiAiseee ina dawa ni kutega tu, turun mambo yetu mitaani ....ni kuingia saa3 unatoka saa7
Hahahaha mm sielewagi kabisa kinachoendelea mpka nikae 8hrs job Basi siku hiyo Kuna semina ya posho au nimesafiri kikazi
Mkuu kwa serikali hii na wanachotufanyia watumishi acha tu tufanye mambo yetuKuna uzi mtu mmoja kasema waTz ni wavivu sana watu wamemjia juu kweli kweli.
Mkuu nakutafta Sana, halafu Kama unanikwepa vilena sisi tunaopata profits na mabonus tunacomment wapi mkuu?
Duuh, una raha sana.Kwa utawala huu usisepe kwanza, hii mijamaa ina roho mbaya Sana...hata huko kwenye business utakumbana na mavikwazo balaa Anza kuzirun ukiwa unakula msahahra wao wa bure huku ukitega kuingia kazini ila hakikisha maafisa utumishi mko nao fair, mimi nilikuwa HQ huko walikuwa wanabana Sana, tulikuwa tunasaini kwa mifumo ya electronics ya fingerprint nikaomba uhamisho kuja mkoani, huku daftari tu siingii siku4 nikija nasaini zote...huku nimekuta Ofisi ni kudoji tu mpka mkurugenzi mnapeana zamu na masaa, kazi haziendi kabisa kila mtu anafanya mambo yake
unanitafuta kwa wema au ubaya mkuu?Mkuu nakutafta Sana, halafu Kama unanikwepa vile
Ubaya upi mkuu, njoo pmunanitafuta kwa wema au ubaya mkuu?
Serious huwezi kuifanyia serikali kazi kwa bidii wakati huthaminiwiDuuh, una raha sana.
Ni kweli mkuu. Hadi hili kufuli litoke madarakani ndo nachomoka. Najua hata wenzake hawakutegemea kusomeshwa namba hivi. Kwa hiyo hawatuletea wa hivi tena. No situation is permanent.
Kwa sasa ni kufanya kazi kadiri ya uwezo wako na vipaumbele vyako, vinginevyo utakufa maskini.