Mshahara wa Aprili umetoka

Mshahara wa Aprili umetoka

Watumishi bwana mnachekesha kwa hiyo mmesahau na hoja zenu sijui madaraja sijui na nyongeza mnashangilia mshahara.sawa ngoja sie tuendelee kuungua na jua barabarani na vitambulisho vyetu.mje tunawasubiri mtuunge bidhaa sikukuu ndo hii
 
Tuwahini kwenye akaunti zetu wakuu, Kimfaacho ni chake hata kama kasungura kenyewe kadogo.

Sikukuu oyeeeeeeeeeeee...
Mkuu ilibaki kidogo tu nianzishe Uzi humu kuulizia hii kitu....ngoja niwahi kwenye ile "that listen"
 
Aisee ndio kwanza Leo tar 19 April ni furah tupu

Ila sasa mpaka tutoboe hyo may tar 24 hali ni mbaya mpaka unakunywa banana yan tena kwa mkopo
 
Baada ya Serikali kugundua kuwa mishahara inawatosha ikaona bora iboreshe zahanati barabara na maji safi kama sehemu ya kuwaongezea mishahara
Hahaha..bila kusahau umeme, SGR, stiglaz na dreamliner
 
Huwa nawashangaa sana watu wanaojisifu yasiyowahusu, hasa kwa kuwakatisha tamaa wenzao…!!! Nilishamwona jamaa mmoja, kwa kujitapa mitandaoni unaweza ukajiona huna lolote... NENDA KWENYE MAISHA YAKE HALISI SASA...!!! Hutaamini kabisa kama ndo yeye…
Ni kweli hum Jf ukiangalia watu wanasema nini unaweza kujiona una mikosi yaani full mashauzi walah
 
Ni kweli hum Jf ukiangalia watu wanasema nini unaweza kujiona una mikosi yaani full mashauzi walah
Aafuu usikute wote tunashauka na Kwa sababu hiyo wote tunajiona tuna mikosi ... Yaani humu Kuna wenye mijihela, wafikisha vileleni wadada, wa maisha mazuri, wenye mamitaji na mabiashara makubwa....YAANI UNAWEZA UKAAMUA KURUDI KWENU NANJILINJI
 
Hatari sana aisee
 
Aisee ndio kwanza Leo tar 19 April ni furah tupu

Ila sasa mpaka tutoboe hyo may tar 24 hali ni mbaya mpaka unakunywa banana yan tena kwa mkopo
Kama unakunywa banana wine ukuje nitakupa free kwa government workers only
 
Back
Top Bottom