Mshahara wa Aprili umetoka

Mshahara wa Aprili umetoka

Serious huwezi kuifanyia serikali kazi kwa bidii wakati huthaminiwi
Halafu kichaa mmoja anatamka eti nyongeza za mishahara ni hadi tumalize hizo project.

Anajitoa ufahamu kuwa annual increment sio favour bali ipo kwa mujibu wa sheria.
We're led by sadist leaders
 
Umeingia kweli mbona sms sijapata uku mwenzenu. ngoja mhudumu aniongezee bapa apa kama wakika upo
 
Halafu kichaa mmoja anatamka eti nyongeza za mishahara ni hadi tumalize hizo project.

Anajitoa ufahamu kuwa annual increment sio favour bali ipo kwa mujibu wa sheria.
We're led by sadist leaders
Mshahara umetoka kweli mkuu
 
Ngoja nianze kuwafuatilia ninaowadai
Haya ni mateso tu, tar 25 april wote hawana kitu. Serikali iwahurumie hawa watumishi maana kuwapa hela kwenye sikukuu ni kurudisha nyuma elimu maana waalimu watakuwa na njaa na wanafunzi watakuwa na njaa may yote!
 
mshahara mbuzi haujapanda tokea malaika mkuu ashike hatamu
Eti malaika mkuu nmecheka mpaka mhudumu anaishangaa,anafikili namcheka.
Jiwe ni hatar nina miaka saba Job ila uyu mtu Mungu anamuona.
 
Haya ni mateso tu, tar 25 april wote hawana kitu. Serikali iwahurumie hawa watumishi maana kuwapa hela kwenye sikukuu ni kurudisha nyuma elimu maana waalimu watakuwa na njaa na wanafunzi watakuwa na njaa may yote!
Umewakumbuka walimu tu na wanafunzi

Je, madaktari/manesi na wagonjwa?
Mawakili/majaji na wateja wao?
Waandishi wa habari na vyanzo vya habari?
Maafisa kilimo na wakulima na wafugaji?

Be a real Great Thinker
 
Mliajiriwa mnatabu kweli kweli nasie tunaopata mshahara kila siku tuna coment wapi au tuanzishe uzi wetu
Wafanya biashara huwa mnajisahau sana na kujiona mmemaliza sana, mnasahau kuwa mnawategemea hao hao waloajiriwa kununua bidhaa zenu.

Binadamu tunategemeana hivyo usimdharau mtu hata kama unaona hana faida kwako, aweza kuwa nayo in indirect way.
 
Jifunze maana ya hili neno SIRI.
ONA UNAVYO JIDHALILISHA. KUNA WATU WANAINGIZA KWA SIKU. WEWE HADI MWISHO WA MWEZI TENA MSHAHARA.
Unahitaji ukombozi wa ku fikra akili yako inawaza mshahara muda wote.
Kama amefanya kazi kuna shida gani akiwaza mshahara wake?
 
Umewakumbuka walimu tu na wanafunzi

Je, madaktari/manesi na wagonjwa?
Mawakili/majaji na wateja wao?
Waandishi wa habari na vyanzo vya habari?
Maafisa kilimo na wakulima na wafugaji?

Be a real Great Thinker
hao wana vyanzo mbadala, kama huna kitu hata round wodini hawaji. Mawakili wanategemea wingi wa kesi. Maafisa kilimo ndo hao wana maduka ya dawa za kilimo na mifugo. Waalimu mmmh!
 
Kama hivyo ndivyo basi hata serikali au mashirika binafsi yangekuwa yanatangaza kwenye media leo tarehe....... Saa..... tumetoa mishahara.
Sasa alivyo anzisha thread kama hiyo huo mshahara ndio umeongezeka?
#Jifunze kuwa na SIRI.
Si kila jambo ni la kutangaza. Matendo ya mtu yana akisi kwa asilimia kubwa tabia yake. Hivyo ni wazi hata katika maisha halisi huyu mtu hana siri.
Kama hii ID ni wewe basi ujumbe ukufikie.
Nini hoja yako mkuu? Maana naona unalalama tu
 
Kama hivyo ndivyo basi hata serikali au mashirika binafsi yangekuwa yanatangaza kwenye media leo tarehe....... Saa..... tumetoa mishahara.
Sasa alivyo anzisha thread kama hiyo huo mshahara ndio umeongezeka?
#Jifunze kuwa na SIRI.
Si kila jambo ni la kutangaza. Matendo ya mtu yana akisi kwa asilimia kubwa tabia yake. Hivyo ni wazi hata katika maisha halisi huyu mtu hana siri.
Kama hii ID ni wewe basi ujumbe ukufikie.
Kumbe serikali inapotangaza kuwa mishahara imeongezeka au haijaongezeka ni kwamba hawana siri? Hii ni habari ameamua kuwapa taarifa ambao walikuwa hawajui (kama mimi) kuwa mshahara umetoka, sidhani kama kuna mahali ametangaza mshahara wa mtu(hiyo ndio siri).
 
hao wana vyanzo mbadala, kama huna kitu hata round wodini hawaji. Mawakili wanategemea wingi wa kesi. Maafisa kilimo ndo hao wana maduka ya dawa za kilimo na mifugo. Waalimu mmmh!
Kwa hiyo unaamini walimu wote wanategemea mishahara na kada zingine zina vyanzo vingine.

Jipe muda wa kufanya utafiti japo kidogo tu, utagundua kitu zaidi ya hiki unachokidhania.

Naheshimu mawazo yako mkuu.
 
Back
Top Bottom