Baada ya kujitolea kufanya kazi kwenye taasisi fulani binafsi kwa miaka si chini ya miwili nimepewa mkataba.
Nimelazimishwa kutumia cheti cha kidato cha sita wakati nina elimu ya chuo(degree) nimefadhaika kimtindo.
Inaonekana watu wenye elimu kubwa kuanzia degree, masters na PhD kwenye baadhi...
Kama umepoteza cheti cha kidato cha nne na 6 naweza kukusaidia mchakato wa maombi na ukapata ndani ya siku 40 za kazi bila longolongo
Kwa msaada zaidi njoo dm
Salaam Wakuu.
Samahani, yeyote mwenye kutambua viwango vya Mishahara ya hawa jamaa hasa kwa hawa walioanza kazi Mwaka huu, naomba kujuzwa.
Najua Mshahara ni siri hivyo ni ngumu sana kupata majibu sahihi kwa watu unaoishi nao mtaani ila humu inaweza kuwa rahisi
Angalizo; Mimi si Askari na sina...
Habari Wana jukwaa!
Mwenzenu nimepotelewa na CHETI CHA KIDATO CHA NNE (2012), nafanyaje Ili nipate kingine, au Kuna taratibu gani za kufuata.
Ushauri tafadhali
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.