Msemo wa leo...

Msemo wa leo...

jasiri haachi asili...kwako ni kwako tu,wavamizi wakija,hutakiwi kupakimbia
Nawachukia wachina, yani ma engineer wao watao endesha bandari, kampuni ni yao itayo jenga bandari yan kha! Ili li nchi kuanzia leo mie ni mkimbizi nchi yangu ni Ghana
 
Hawatufanyi majuha kama huku tanganyika wanavyo fanya, nilifanya kazi na hawa watu kwa siku tatu duuu unaweza jipigiza chini yani ni zaidi ya wahindi

Jk anawapenda sana wachina................................ anatamani awe mchina.
Ila labda wachina wanaweza kusaidia kukuza uchumi wa nchi. kwa mfano bandari ya bagamoyo. hii bandari ikikamilika inaweza ku serve nchi za maziwa makuu kama itakuwa competitive. wenzetu wakenya sasahivi wanafanya mpango bandari kuu ya mombasa kuwa free port. sasa hapo lazima serikali iangalie kwa makini, wasije kujenga bandari halafu ikabaki jina tu
 
Mungi kaka yangu, tunajua miaka kadhaa upepo wa kibiashara utahamia Mtwara tunajua nini kinafanyika Mtwara. Basi kule ndio palitakiwa kuwe na bandari kubwa zaidi maana hata kina cha bahari ni kikubwa kuliko huko kwao na raisi ambapo inahitajika modifikation, ndugu bandari ya dar kuna watu wamesha pewa fidia ili wahame kwa ajili ya upanuzi wa ile bandari, kwanini wasitishe hayo yote wakafufue ya bagamoyo? Bandari ya tanga wameiacha inapoteamo tu, hapo kuna harufu ya wizi kwenye ujenzi wa bandari. Mchina ni wa kupingwa na tabia yao hupenda kuwekeza sehemu ambayo wanajua kuna uongozi dhaifu kama hapa kwetu mie naumia kama nchi yangu vile
Jk anawapenda sana wachina................................ anatamani awe mchina.
Ila labda wachina wanaweza kusaidia kukuza uchumi wa nchi. kwa mfano bandari ya bagamoyo. hii bandari ikikamilika inaweza ku serve nchi za maziwa makuu kama itakuwa competitive. wenzetu wakenya sasahivi wanafanya mpango bandari kuu ya mombasa kuwa free port. sasa hapo lazima serikali iangalie kwa makini, wasije kujenga bandari halafu ikabaki jina tu
 
Last edited by a moderator:
mimisa

Love_heart.jpg



haya..tutaenda..mm nilikua najua Bishanga ni kule BK..
 
Last edited by a moderator:
UUUUWIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIII ni nini hiki manoah?
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom