Msemo wa leo...

Msemo wa leo...

Nani kakuambia ni za sendoff aaah! Hujui kua mishahara imetoka?

Mzee Baba V hajui maana ya weekend aisee. Mwambie kuwa Blue Monday ikishapita waweza anza weekend anytime kama unazo. Amuulize hata Chimbuvu wa DRC.
 
Last edited by a moderator:
Vinavyoongoza kwa ukali viko vi3, kuna "cha Arusha" "cha Tarime" na "cha Kyela"
Hapa manoah umekula cha wapi?
 
Last edited by a moderator:
Baba V kachoka mwendo wa Lumo hadi tegeta kibaoni na hajui lini atapokea mshahara.
Mzee Baba V hajui maana ya weekend aisee. Mwambie kuwa Blue Monday ikishapita waweza anza weekend anytime kama unazo. Amuulize hata Chimbuvu wa DRC.
 
Last edited by a moderator:
Baba V kachoka mwendo wa Lumo hadi tegeta kibaoni na hajui lini atapokea mshahara.

Dogo saivi siwazii sana mshahara, nimeata part time ya ulinzi Tegeta kibaoni wananilipa buku 3 deile, kwa sasa siku mojamoja nakamata kitu cha daladala
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom