Msemo wa leo...

Msemo wa leo...

Vinavyoongoza kwa ukali viko vi3, kuna "cha Arusha" "cha Tarime" na "cha Kyela"
Hapa manoah umekula cha wapi?

Kuna kitu cha "mwakaleli" hicho ndo balaa, ukivuta unaweza kwenda kuulizia bia kituo cha polisi..
 
Last edited by a moderator:
ah ah! Nitakua nakupitia hapo siku moja moja nakitu cha Navara
Dogo saivi siwazii sana mshahara, nimeata part time ya ulinzi Tegeta kibaoni wananilipa buku 3 deile, kwa sasa siku mojamoja nakamata kitu cha daladala
 
Leo, jioni nikizinduka nitakupitia nikupeleke pale pa sikuile

Hapo Paloma kakukwepa kinamna, ile kauli ya "ukitaka KULA sharti uliwe" ndo imemtisha...
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom