Zero One Two
JF-Expert Member
- Sep 16, 2007
- 9,346
- 3,033
- Thread starter
- #81
ah ah! mbona mie hainipitilizishi bana?
Navara zinakimbia sana, isije nipitilisha home
Navara zinakimbia sana, isije nipitilisha home
ah ah! mbona mie hainipitilizishi bana?
Me nataka kula tu vinginevyo sili kabisa.
Ushahidi wa nini...!??
vyema kiongozi... raha ni kujipa mwenyewe.... wengine wanakamilisha raha zako!
ah ah! tupo kambi moja bana hata ukila haina shida duh!
yap, mambo c hayo broo nani aliwe bana
Duh! Pole mkuu, weekend ya katikati ya wiki ni nzuri sana
Nyie ndo wale mnaomba wiki iwe na siku tatu yaani Ijumaa, Jumamosi na Jumapili.
Unafanya kazi Ijumaa, Jumamosi na Jumapili off!
''Ukitaka kula sharti Uliwe''
Jakaya M. K
W/Kend njema wana Jf...
Kule ghana hakuna wachina?