Msemo wa Leo....

Msemo wa Leo....

naongea na ridhwan street kimenuka ongea na mshua...
 
yatima hachagui mlezi

ukiona simba kaja mjini...jua katumwa huyo

unataka mfupa una meno...
 
mwanaume halali nje.asiporudi nyumbani usiku akaja asubuhi,hajalala nje.kachelewa kurudi.
 
Wakijifanya panya, sisi paka tupo.
 
Utakula ulikopeleka mboga,mawe yameiva lakini kuni bado zimebaki,shamba la kuku halina mpaka,ukiona manyoya ujue kaliwe.
 
Ikiwa asiye sikia la mkuu huvunjika guu basi asiye sikia la mdogo huvunjika kono.
 
Kama hata kichungu huonjwa kwanini usionje sumu ya panya?
 
Hii ya kwenye daladala pia "Msiba wa ki-China haukuhusu".
 
Back
Top Bottom