Msemaji wa Serikali: Magazeti yote nchini Tanzania lazima yasajiliwe upya kabla ya Oktoba 15, 2017

YAMESAJILIWA NA YAPO KWENYE ORODHA YA MKUU WA POSTA.
Hii siioni kwenye magazeti mengi. Imekuwaje?
Mkuu wa Posta naye ni mdau katika magazeti?
 
kwa hiyo tena watoe hela ya usajili au ni ile ile? nachokiona hapa hela inatafutwa kwa nguvu.
 
Sheria ya uhuru wa habari inaweza ikawa imekiukwa hapa kama ni lazima kupata habari kutoka pande mbili.

Ninaamini kufanya hivyo kama inawezekana, yani kupata info toka pande mbili, basi hiyo ni fair journalism, lakini sioni ni kivipi iwe ni sheria kufanya hivyo. Pengine wanaweza kuhitajika kubadili sheria kabla hawajashinikiza hilo.

Maana kuna habari ambazo ninatokana na whistle blowing. Kuzizuia ni kuminya uhuru wa habari.

Ngoja tusubiri maoni ya wanasheria kuhusu hili.



Neno "UHURU WA HABARI" ni zuri kulitamka.
 
Back
Top Bottom