Msemaji wa Serikali: Magazeti yote nchini Tanzania lazima yasajiliwe upya kabla ya Oktoba 15, 2017

Kurzweil

JF-Expert Member
May 25, 2011
6,622
8,397

Leo Jumatano Agosti 23 saa nne kamili asubuhi Msemaji wa Serikali, Dokta Hassan Abbasi amezungumza na vyombo vya habari katika ukumbi ni Habari Maelezo.

Katika Mkutano huo na Wanaandishi wa Habari, amesema kuwa Mfumo mpya wa utoaji wa leseni kwa machapisho yote umeanza rasmi leo Agosti 23,2017. Hivyo basi kuanzia leo hadi Octoba 15 magazeti yote yahakikishe yanakuja kusajiliwa upya.

Pia Machapisho ya Serikali na Taasisi binafsi ni lazima yasajiliwe ambapo taratibu zote za upatikanaji wa leseni zimewekwa katika tovuti ya Home | TANZANIA INFORMATION SERVICES-MAELEZO amesema Dkt. Hassan Abbasi.
 

Attachments

  • ABASII.jpg
    ABASII.jpg
    37.9 KB · Views: 458
Back
Top Bottom