Je, kwa sasa jina la Bodi ya Mikopo kwa Elimu ya Juu limebadilka kutoka lile tulilolizoea la HESLB ( Higher Education Student Loan Board ) na sasa limebatizwa Jipya la Samia Suluhu Higher Education Student Loan?
Haya Poti wangu (mwana Mkoa wa Mara Mwenzangu) Mobhare Matinyi naomba uanze na huu Mfupa ili GENTAMYCINE niamini kuwa hiyo nafasi utaiweza na unaistahili.
Ushauri
Kwakuwa hivi sasa kwa unafiki na kujipendekdza kwenu kila kitu mnataka kukinasibisha (Kukiunganisha) na Rais Samia basi GENTAMYCINE nashauri hata jina la nchi tulibadili na iitwe Samia Country na kila Kitu kilichopo Tanzania kibadilishwe na kianze na neno/ jina la Samia sawa?
Mimi ni Bahari huwa sikai na Uchafu!