Msanii Wema Sepetu kujiunga na CHADEMA rasmi

Msanii Wema Sepetu kujiunga na CHADEMA rasmi

Musidanganyike, wapi kaonyesha rasmi kahamia chadema, ile ni tishia toto tu kwa ccm ili waje wamwombe msamaha. mkuu kabana. Hakuna cha kubembelezana wakati huu....
Kesi inaendelea na hela hapati
 
...
....Chadema.Baba la Taifa

Waacheni Watoto.waje kwangu maana Ufalme wa Taifa ni wao
Masikini chadema! Kweli Dr Slaa angepokea hawa mateja?
Any way ni vizuri wawe karibu na mkuu wao muuza sembe, maana ngede wafananao huruka pamoja!
 
Wema ana impact gani kwenye siasa za nchi hii.
Mkuu wema sio public figure ila elewa Kwamba chama cha siasa ni wanachama so huu usajili uko very strategic kuwavuta wafuasi wake na kuwaConvert into Votes. Simple
 
Masikini chadema! Kweli Dr Slaa angepokea hawa mateja?
Any way ni vizuri wawe karibu na mkuu wao muuza sembe, maana ngede wafananao huruka pamoja!
Nani anataka kupelekeshwa ww?kaeni na sizonje huko awapelekeshe km ng'ombe.kila mtu atawakimbia
 
Kipindini cha Kampeni walikuwa na kiherehere kusimama majukwaani kutoa support kwa "kijani" leo ndo wanagundua that was crap.. warudi nyumbani kwao, tena siyo huyo tu, wooote! Ingawa ningewa-caution sana CHADEMA kuitoifanya hii ishu kama ni ya kisiasa. Kama wanataka kumpa support (Lisu being her Lawyer) iwe as professionalism na si kwasababu tu ku-attack upande wa pili, pia kama kweli Wema amehamia CHADEMA, uongozi should just take it kawaida, NOT a big deal. Si lazima kumtangaza..
I support you
 
Huyu ATA PACHUKA tu. anangojea "kesi yake ikiisha vizuri", atakatika Mkia. Atarudi zizini...
 
Wakuu

Tokea ishu ya wema sepetu kuonekana na viongozi wa chadema leo mahakamani nimeona vijana wa lumumba wamepanic kweli kweli

[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]

Kwani kuna tatizo kwa wema kuchagua anachokipenda?

Mara oooh "wameondoka akina kingunge na lowassa sembuse wema?"

Looooh.... maneno haya yote yanatokea wapi? Mara ooh sijui chadema inapokea makapi na mafisadi

Kama ni mafisadi mbona hamwapeleki mahakamani?

[HASHTAG]#freeewemasepetu[/HASHTAG]

Kila mtu aangalie maisha yake
Waambie kama ni makapi mbona wanatoa mapovu cn
 
[emoji23]mm nasoma tu vingine vinachekesha
 
Hii nchi vituko kila siku sometimes najivunia kua Mtanzania kwa sababu ya vituko kama hivi mara Makonda Cheti kinampeleka less huyu anatamani kua IGP mara Manji na Tigo mara Wema kaenda chadema
 
Hatuhitaji watu wanaohama kwa matukio tunahitaji watu wanao jitambua na kukerwa na udhalimu ambao akina wema waliona haupo hasa walipoteseka wengine wao wakiwa wana CCM,mm sioni jipya cha msingi CHADEMA tuwe makina na watu wa hivyo kama akina wema sepetu.
 
Back
Top Bottom